Kwa mujibu wa taarifa niliyoisoma kwenye website moja ya azamfc.com ni kwamba raisi wa tff ambaye alitangaza kutogombea tena kwenye uchaguzi mkuu ujao wa tff ana jipanga kugombea CAF kushindana na Isa Hayatu,
Bonyeza hapa azamfc.com kwa taarifa zaidi.
Kuna tofauti Kati ya wabunge Kama Mnyika na wabunge Kama Ndesamburo.... Wewe ni Mbunge wa Chadema makao makuu,msemaji wa chama na sio msemaji wa wananchi....
Nakuombea ubadilike Kwa sababu taiga bado linakuhitaji Kwa mchango wako.......
We Mpuuuzi nini?? Acha upumbavu wako kuwafaninisha manabii wa Mungu na Siasa za dunia,Acha tena nakwambia ushindwe na usije ukarudia tena kauli yako.. Wewe unataka kumfananisha Yesu au Mohamed S.A.W na Viongozi wa CCM au Chadema... Pumbazu zako na Mungu akulaani kama usipofuta kauli yako,mjinga...
Naona Wooote mmechangia kadri mlivyoilewa post hii,Ila kama upo DSM siku moja moja jitahidi upite Pale Msasani kwa Mama yetu,Mama Maria Nyerere umuombe japo dakika kumi akuelezee kuhusu hii kauli...
Kila la Kheri......
Nakumbuka Kauli ya mwisho ambayo Mwalimu aliwahi kuitoa kuhusu Mzee Mtei Edwin pale nyumbani kwake Msasani, aliguna sana baada ya kusikia Mzee Mtei na wenzake wameanzisha Chama cha Siasa...
Alisema...."..Heeee,Ina maaana Mtei bado anaendeleza nia yake ile ile ya toka zamani...?? Haya kila la...
Nipita Tu wadau,Ila ni bora Jaji angesoma alama za nyakati.. Angeacha tu amalize muda wake uliobaki,watakaoumia ni wananchi wa hali ya Chini sana.. Mfano kuna jamaa yangu katoka kunitumia msg anasema anaomba nimtafutie Chumba DSM haraka hataki vurugu zimkute Arusha.. Wapi inakwenda jamani na...
Kweli bila CCM madhubuti nchi itayumba....
Ila kuna ambao wanaotumia maneno kama ya Lusinde kukifanya CCM kuwa na viongozi wengi wenye upeo mdogo...
Ila mnakumbuka Lusinde alienda CCM miezi kadhaa kabla ya Uchaguzi akitokea Chadema?? Je haya yote amejiufunzia CCM au CDM...
KILA ANACHOFANYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.