Search results

  1. S

    Kitu gani kinachonisumbua?

    Sijui kama Niko sawa wakuu naombeni Ushauri kabla ya kwenda hospital kwasababu siko sawa. Kama mwezi mmoja uliopita nilishikwa na tonses pamoja na homa kali sana, nilitumia dawa haikuchukua wiki moja nikawa nimeuona. Cha kusikitisha ikawa bado nasikia maumivu kwambali pale ninapokula chakula...
  2. S

    Hivi wanaume wote wako hivi?

    Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha. Turudi kwenye topic nimekuwa ni mtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini. Tuna maelewano mazuri sana na mke wangu hatuna ugomvi, tatizo...
  3. S

    biashara ya haraka

    Heshima kwenu! nahitaji cacao iliyokuwa tayari kama tani moja yoyote alie kuwa nayo ani pm tuweze kufanya biashara malipo ni mazuri
  4. S

    Kupotelewa rafiki yangu

    Heshima kwenu wakuu! Nimepotewa na rafiki yangu aitwae victor Robert, Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa mwaka 1995 Arusha. Tulisoma wote mringa secondary. Kupitia jamii forum naamini naweza kumpata, na kwa yeyote mwenye habari zake naomba anijulishe.
Back
Top Bottom