Search results

  1. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Daah!!! 6Yrs!!!! Ndo unakuwa na maoni na mawazo hayo!!!? anyway, ukubwa na udogo wa tatizo ambalo siyo physical unalipima vp?? Soma maoni ya watu wengine pia then ujione kama ulinielewa from the very beginning!! na inategemea na vipaumbele vyako na plan yako na katiba yako ktk serikali yako...
  2. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Aaa, ukiangalia toka mada yangu ilipoanza na namna umekuwa ukija na hoja zako na the way nakujibu, na unavojibiwa na wengine, nadhani huhitaji mtu wa tatu kukwambia kwamba ww ndo mgeni na maisha hayo, infact haujawahi ishi na mwanamke hata mwezi mmoja!!! so, let the grown ups talk while you...
  3. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Nimejisumbua bure kujibu baadhi ya michango yako, kumbe ndo ulipoishia ufahamu wako ktk masuala ya familia!!! Pole.
  4. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Kabla sijaoa nilikuwa naongea na mama kila siku, at least haikuwa mara nyingi kwa siku but kila siku, aidha nipige au yy apige, ilikuwa kawaida yetu'!! Note that Baada ya kuoa, mama alinambia "mwanangu umekua, na utakuwa na familia, unahitaji kutumia muda wako mwingi kuifikiria familia yako...
  5. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Umeoa? We ni mwanaume? Umesoma na kuelewa vzr kabisa nilichokiandika na umeelewa hata yale ambayo nime imply ktk maelezo yangu?? kama ni ndiyo, basi ww ni sawa na baadhi ya wanaume wanaooa na kukubali kwenda kuishi under the same roof na wazazi wa mke wake yaani wakwe zake!! Na ukawa...
  6. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Nilipokuwa sijaoa, nilikuwa naangalia matatizo ya ndoa za rafiki.zangu, ndugu zangu ili nijifunze lkn siyo kutoa maoni nikiwa na attitude kama yako, you are not in my shoes, na nadhani haujaoa, kama umeoa wewe ni aina ya wanaume wanaokubali kwenda kuishi seating room ya nyumbani kwa wakwe au ktk...
  7. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Umeoa???? fikra zipi potofu?? Manaake 'inawezekana ww ndo unekuwa na fikra potofu ktk fikra zangu!!! Tulia, soma then ndo uongee
  8. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Nashukuru kwa michango, Nikiangalia saa saizi ni saa tatu na dk saba, ndo ametoka kuingia siyo muda mrefu , kutoka wapi? Kwa mama!!!!!, Tulikubaliana anaenda kuna mgonjwa anaenda kumtazama pale home, ni kweli. tumewasiliana vzr hadi mida ya saa nane mchana, saa kumi na moja namchek...
  9. B

    Mama mkwe na mke wangu

    Ni mama yake sawa, na ni mama yangu kwasababu ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice. Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, I think she is the one who makes my wife happy kulikoni mimi, ni mama yake sawa lakini mie ni mume wake. Nadhani mama ana nafasi kubwa katika...
  10. B

    Je! Ni halali polisi kuwanyima panyaroad dhamana na kukataza wazazi kuwaona?

    Kuna mama alinyang'anywa vitu vyake na kubakwa pia, wengine kujeruhiwa na visu na mapanga!.haijaanza jana wala juzi, tumewasikia panya road toka muda, wanaleta madhara hayo toka muda, leo mnaona nao wana haki ya kwenda kutembelewa na ndugu zao??? Hivi kwanza hata hao ndugu hawaoni aibu...
  11. B

    Nina matatizo au ana matatizo? Sielewi

    Nahitaji kupewa thamani kama mume kutoka wake! Nikimpigia simu asiongee na mm huku akiendelea kuongea na waliokaribu nae kwakuwa Mimi huwa sifanyi hivo! Tukimaliza kuongea tuagane vzr na siyo kunikatia simu eti kisa alikuwa amemaliza mazungumzo! Kwakuwa huwa sifanyi hivo! Jukumu la...
  12. B

    Mr Teacher at work

    weweweweeeeeeeeeeeeeee! no one can deny the role of FIMBO! zinasaidia kupita unavyoweza kueleza! hiyo hutumika kuondoa bad stimuli zinazo impede teaching and learning process! usifananishe na sehemu yoyote ile kwasababu watoto na mazingira ya hapa kwetu hayafanani na mazingira ya mabara mengine!
  13. B

    Mlipuko wa Bomu Nigeria: Wafuasi wa kundi la Boko haram wahisiwa kuua watu 60 Nigeria

    Miungu wapo wengi mkuu! hasa hao wapenda damu! LOL!
  14. B

    Mlipuko wa Bomu Nigeria: Wafuasi wa kundi la Boko haram wahisiwa kuua watu 60 Nigeria

    Nadhani umekurupuka. Ni muhanga gani aliojitoa yesu? na unafananisha na kujitoa muhanga kupi? Nadhani umesoma mara moja post ya mkuu hapo juu na kuanza kucomment ukidhani amekosea alichoandika na kumdhihaki kwa kusema Yesu alijitoa muhanga! je si boko haramu wanaosema wanadhulumiwa na wasio...
  15. B

    Mlipuko wa Bomu Nigeria: Wafuasi wa kundi la Boko haram wahisiwa kuua watu 60 Nigeria

    Kama unadhani kakugusa, umueleweshe na siyo kumuita shabiki wa kipumbavu wewe uliyesoma na kufuatilia mambo nadhani haukufuatilia kwa undani na kujua misimamo na imani ya hili kundi na hivyo unakosa objective perception na judgement kuhusu hili kundi! What is Boko haram? Nigeria's militant...
  16. B

    Sifa za walimu wapya 2014!

    uone aibu hata kurudi na kujibu walichokujibu watu humu! busara ni pamoja na kutambua kosa/ ujinga/ upumbavu ulioufanya na kuurectify! sasa ukiwa unakuja hapa majestically eti unajibu response ya watu unakuwa una justify ujinga wako! be wise!if you are Masculine then be a MAN!
  17. B

    Sifa za walimu wapya 2014!

    Umekaa ukafikiria na wewe uandike nini ndo unakuja na utumbo huu! wewe ni miongoni mwao? au wewe ni mwalimu wa mwaka gani? the way ulivoandika sidhani kama wewe ni mwalimu! let say ni kweli uliyoyaandika, wewe yanakuhusu nini? na unataka tufanye nini hapa? yaani katika kuchangia hii "the so...
  18. B

    Wizara ya elimu inaizika elimu ya tanzania rasmi baada ya kumaliza kuchimba kaburi lake.

    Kuna vikao vinavyoendelea kati ya Wizara na Wamiliki wa shule binafsi kwakuwa hawa ndiyo wanaleta nongwa juu ya jambo hilo! kuna mengi yanayojadiliwa chini ya kapeti kwamba Wizara inataka hata wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule binafsi wapangiwe na wizara, yaani iwe kama inavyofanya...
  19. B

    Mtoto wangapi kuzaliwa

    Sasa hauwezi kula ugali kwa kutumia vile vijiti wanavyotumiaga wachina kula vyakula vyao mkuu! lazima utatumia mikono kama kawaida yetu! "Hivi baba, kati ya watoto wako mie ni wangapi"? na lazima mzee akununie!
  20. B

    Wizara ya elimu inaizika elimu ya tanzania rasmi baada ya kumaliza kuchimba kaburi lake.

    Wizara ya Elimu Tanzania, imekuwa ikichimba kaburi la kuizikia elimu kwa muda mrefu sana! kwa kutosikiliza madai ya walimu, kutozipatia shule vitabu mujarabu vya kiada na ziada, kutokujenga maabara, kutojenga mabweni ya wanafunzi, kuwapeleka walimu katika vituo vyenye mazingira mabovu kabisa ya...
Back
Top Bottom