Search results

  1. D

    Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

    Pole sana and get well soon
  2. D

    Yona agombana na Wamarekani

    hmm! do I smell another EPA in the making.
  3. D

    Siri nzito kwa wanaojenga nyumba/vibanda vya biashara

    Kweli. Nenda Sao Hill kanunue mbao. Vile vile pale Buguruni zile mbao sio treated kama wanavyo dai. Wanazipaka rangi kusudi zionekane treated wakati sio. Nenda kanunue mbao treated za kweli kiwandani.
  4. D

    Muziki Zaidi: Vipi JB Mpiana, Werason, & Koffi

    Fally Alikua kwenye bendi ya Koffi kabla kuibuka.
  5. D

    Akudo Impact vs Fm Academia: Nani mkali?

    Wazee wa Ngwasuma without a doubt wapo juu sana allround, sebene zauwakika na zimeenda shule. Lakini Akudo wanakuja kwa kasi ya ajabu. Nyimbo kama "Mapenzi yakowapi" na "Mama Venesa" sio zakawaida. Lakini bado awajaji prove, tuwape mda tu na tunaweza tukawa tunaongea mengine hapa.
  6. D

    Muziki Zaidi: Vipi JB Mpiana, Werason, & Koffi

    Koffi enzi za Tchao Tcho alikua anafunika ulimwengu mzima, siku hizi ana-recycle tu album nyimbo zile zile. Siku hizi sisikilizi sana kina JB, Werra au Koffi. Ukiachia ma-commercial success kama kina Fally Ipupa, wakali wakweli ni kama kina Ferre Gola, hapo tunaweza kuanza kuongea.
  7. D

    Muziki Zaidi: Vipi JB Mpiana, Werason, & Koffi

    Kwa hawa watatu, Werrason ndio mkali.
  8. D

    Songas to buy Dowans generators?

    Tulisha waeleza in business terms kwanini Songas aiwezi kununua mitambo ya Dowans, watu wakasema tunaongea siasa. Lakini as presumed, Songas wamerudi na jibu hilo hilo.
  9. D

    Songas to buy Dowans generators?

    tk, huo ulikua mfano tu ambapo "Tatizo X" stands for tatizo tu na si lazma lifanane kabisa na hii situation ya ma generators. Lakini kama itakua rahisi kuiongelea literally, say Tatizo X is Ata kama Dowans wakikwepa kumuuzia mitumba ya generator Tanesco kwakumuuzia Songas instead. Hilo...
  10. D

    Songas to buy Dowans generators?

    Jamani naomba kueleweshwa kidogo. Labda nianze kwakutumia example say: Kampuni A = dalali wa kuuza magari Kampuni B = kampuni yaku azimisha magari (car hire firm) Tatizo X = magari ya wizi kutoka Africa Kusini Je kama Serekali imejaribu kununua magari kutoka kwa Kampuni A kwa maitaji ya...
  11. D

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Kweli there is more said without saying, kwanini ubaguzi tu. What should we think is behind all this. Ameacha kujibu tuhuma zote zile alizo tupiwa siku hile, all he saw was ubaguzi. Sijui zile allegations zingine hazina umuhimu au ukweli.
  12. D

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Asante W. J. Malecela. Hoja ulio njenga hapo juu ndio silaha yetu muhimu kutumia, kama kweli tunataka kujiwezesha kukabiliana na huyu adui.
  13. D

    Revealed: $300mn electricity scandal

    Or even: Serengeti Genesis
  14. D

    Revealed: $300mn electricity scandal

    hmm! Ndio tulitonya kidogo kwenye hile topic ya Dr kwamba a lot of news is coming thru and something was brewing. There was no need kubwaga hii kitu kwasababu ilikua out of topic kidogo. Mambo ya wind yako mengi. Such as: 7.11.2007 - 02:30pm ET Press release from: Barrick Gold Corporation...
  15. D

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Dah! Netanyahu, makala yako imenimaliza. Big ups!
  16. D

    Call to Action: Seize the da*n Generators!

    Ni lazma kuitaifisha, na vile vile in the process ya kuitaifisha inabidi kuweka mkakati wa publicity campaign ulimwengu mzima kuonyesha mitambo inataifishwa kwa sababu ya kukiuka process na kutupa hasara. Na kuwathibitishia investors wowote kwamba kama tukipata mfadhili wamaana, anakaribishwa...
  17. D

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    The issue behind this "war of words" is a matter of national interest (buying Dowans generators). We the people are the ones who are going to suffer in the long run if the underlying issue ( Dowansgate ) is hushed up under CCM party politics. Instead we need this national issue solved since it...
  18. D

    Call to Action: Seize the da*n Generators!

    Watanzania wenzangu, hapa inabidi sisi wenyewe ndio tujisaidie kusudi ombi letu litendeke. Nawaomba ndugu zangu hapa. Twendeni tuka zisake SHERIA NA KANUNI kwenye relevant authorities zote nchini. Ambazo zinaweza kuthibitisha uwezekano wa KUITAIFISHA hii MITAMBO. Alafu tupeleke hizo sheria...
  19. D

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Duh! Kapinga, a lot of info coming thru. Eh! there could be something brewing...
  20. D

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Nilijiandaa kwenda changindia hile topic ya Mwakyembe ana Kampuni lakini imefungwa. Hapa naona panafaa vile vile. Mimi sijasomea sheria, lakini kwa akili tu ya kawaida na kuweka issue at hand kwenye miungoni mwa miiko ya "conflict of interest. Nimeshindwa kumuweka Dr atiani kwenye hili...
Back
Top Bottom