Search results

  1. Githeri

    Vitabu vipya vya TIE na hatma ya Tanzania

    Wewe kweli ni telescope. Hongera kwa kuyaona hayo na kuwashauri.
  2. Githeri

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nimecheka kwa sauti. Watu mna maneno.!!!
  3. Githeri

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Jamani! ! Apumzike kwa amani. Siku wa namfahamu ana kwa ana, ila kwa kusoma michango yake humu ilikuwa kama namjua. Poleni sana mlioguswa na msiba huu.
  4. Githeri

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Ohh!!No.Kama ni kweli tupe taarifa kamili. Wapi na lini?
  5. Githeri

    Niliyoyaona Kenya, Tanzania is better a million times

    Hapo Nairobi ungefika pia maeneo ya Runda, Muthaiga na Westlands.
  6. Githeri

    Pindi Chana ashindwa kuibuka kidedea ubunge viti maalum Njombe

    Ni ndugu wa damu baba mmoja mama mmoja
  7. Githeri

    Liwe ni fundisho kwa yaliyowapata Ben Saanane na Mpoki Mwambulukutu(Mchambuzi)

    Dahh! ! Kuhudhuria misiba na sherehe zote kama mdau Izoba alivyosema kumbe jamaa kaangushwa. Wananchi kumbe wana vigezo vyao.
  8. Githeri

    Liwe ni fundisho kwa yaliyowapata Ben Saanane na Mpoki Mwambulukutu(Mchambuzi)

    Imebidi nicheke tu. Yaani watu wana mikakati hasa. Namtakia kila raheli atimize lengo lake.
  9. Githeri

    Buguruni: Sherehe yageuka msiba

    Mleta mada kweli ni Dr. Wa buguruni, maana hii hadithi Yake Mara jamaa alikuwa anasubiriwa kufungisha ndoa Mara kauwawa kwenye ujambazi. Sijui lengo ni kumtetea marehemu au kuthibitisha yaliyosemwa na Grader.
  10. Githeri

    Dr. Mwakyembe, muda wako umefika

    Kumekucha!!! nyukaneni hadharani... sisi wapiga kura tuchague mbivu na mbichi.
  11. Githeri

    Edward Lowassa aungana na Gwajima kumtukana Kardinali Pengo

    Makubwa!! wewe Mingoi huyu Lizaboni si mwenzio kiitikadi? kwa hiyo tuwapuuze wote?...
  12. Githeri

    Wakazi wa Dar (Na Kwingineko) Sasa Mnaelewa Kwanini Tuliipigania UDA Irudishwe Mikononi Mwenu?

    Kafara umenikumbusha miaka ya mwishoni wa 80s na Mwanzoni mwa 90s wanafunzi tuliokuwa tunasoma shule za kutwa Dar tulikuwa tunasafirishwa na gari za umma (Tanzania Breweries, Bandari, shirika la Petroli n.k)jioni tukitoka shule. Yaani kila route ya Dar ilikuwa na basi lake. Hii kwa sasa imebaki...
  13. Githeri

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Teh....teh!!!! Le mutuz kaja.....leo kazi kwenu mnaochokoza akili kubwa.
  14. Githeri

    Wakenya wavamia Tanzania

    Mkitafakari hili nendeni Gikomba / Kikombaa soko kuu la mitumba Nairobi..... fanyeni census ndogo tu...... zaidi ya nusu wauza mitumba ni wachagga wa Rombo.
Back
Top Bottom