Search results

  1. S

    Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    mimi sijui hawa watanzania wenyewe mawazo mgando kama wewe wataisha lini?? hivi unategemea CHADEMA wakukomboe? komboa kwanza fikra zako mbofu..fool
  2. S

    Sina imani tena na Chadema

    mi sion haja ya mtu kuanzisha tred kama mawazo yako ni mgando kiasi hichi..si lazma uandike..ni bora ukae kimya ufiche upuuzi wako. sikuwahi kufikir bado kuna watanzania wenye mawazo finyu kama wewe
  3. S

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    nianyoelewa mimi engineer ujiiti we mwenyewe..Qualification zako tosha zinakufanya uonekane engineer..huyu mama hakuna kitu...full technician si engineer kama anyojiita..DIT na FOE ni sawa na chupi na boxer..uwezi fananisha. Concept ya real engineer: Engineer must know everything except...
  4. S

    Nimemtongoza mchumba angu kwa id na namba tofauti kanikubali

    Man yan hapo huna mtu..kitendo cha kutoitambua sauti yako ni kosa la kwanza hata kama umebadili sauti vipi. pili sitegemi dem anatongozwa na mtu anaingia kingi mpka atua ya kufanya mapenzi bila ya kuonana na mhusika..hiyo ina maana hana chembe ya utulivu. tatu kama ameamua kuondoka mwenyewe...
  5. S

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    shukrani nimeipenda hii. umesema kweli
  6. S

    Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

    acha ujinga we hewa kama nawe ujui kusoma hata kusikia tu nalo tatizo...tafuta audio tukutajie jina lake
  7. S

    Lusinde Ajiandikishe Form One Kufuta Ujinga

    mbona cv yake ilishaatupwa hapa jamvini muda tu wewe tu ndo ujaiona
  8. S

    Hongera V. Nyerere, Shame on you Lusinde

    jaman huyu lisinde mnamuonea bure!hebu angalien elimu yake, chama chake nacho, na magamba wenzie kama wasira. mi nafikiri wananchi ya mtera ndo wana haki ya kumsulubu huyu bwana kwa kuwazalilisha...waandamane wamkatae kabisa na uchaguzi utaitishwa atakapojiuzulu...mi huyu jamaa hata akifa mait...
  9. S

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    one of my greatest day in my life... CHADEMA..wana arumeru mmechagua... mmepata kiongozi,,, natamani nione mimba ya lusinde nafikiri karibu ajifungue
  10. S

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    Kumsamehe unaruhusiwa, na nimuhimu kabisa.ila sio kurudiana nae au kuendelea na mausiano..kwanza ukimsamehe anaeza kuja kukupiga chini wewe then ukajinyonga ukatuletea shida nyingine hapa. Kwanza ulimuliza demu mwenyewe?? majibu yake yalikuaje? au ukute alikuambiaga ana jamaa mwingine we ukawa...
Back
Top Bottom