Nimeona kwa mwaka huu wamelipia kiasi kidogo sana cha ada kwa wanafunzi. Mf nina vijana 4 mtaani wamelipiwa ada 270,000 kwa mwaka na kozi zao zinaanzia mill 1.8 na familia zao ni duni mno. Sijui bodi wametumia vigezo gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.