Search results

  1. N

    Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Ni kweli MTUMBUAJI hajakwepa kodi, ni sawa. Ila ninasema, MTUMBUAJI kasemehewa kulipa kodi kisheria... mimi nasema hiyo si sawa, hasa tukiangalia kwamba mama lishe analipa kodi, machinga mwenye kipato kidogo analipa kodi. Mimi ninaona ni haki yangu KUMSHAURI MTUMBUAJI ambaye ni kiongozi wangu...
  2. N

    Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Ngoja tukufundisheko ka sheria kidogo, katika mambo mawili. KWANZA, INCOME TAX ACT 2004 RE 2012, kifungu cha 10 (1),(2) kinampa WAZIRI WA FEDHA mamlaka ya kufuta Jedwali zima la pili la sheria hiyo ambalo ndilo linalosamehe MTUMBUAJI kulipa kodi ... Maana yake ni kwamba, kisheria, Bunge...
  3. N

    Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Hili nalo ni jipu, tena ni gujipu: yaani mwalimu wa chekechea analipa kodi, VEO analipa kodi, muuguzi analipa kodi ya mapato pamoja na kamshahara kake kiduuuchu. Wewe MH MTUMBUAJI hulipi kodi ya mapato kutoka mshahara wako wa 9 milioni kama ulivyotuambia ... Je, hiyo ni haki? Sheria The Income...
  4. N

    Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    Tanzania ni nchi iliyojaa wachambuzi, maprof na Dr uchara; historia itasema... MASWALI YAKO NI MAGUMU MNO KWAO, HAWAYAWEZI WATAWEZAJE MASWALI YAKO IWAPO HAWAJUI HILI RAHISI: Je, unajua kwa nini 'kisheria' SITTA aliamua kupunguza idadi wa wajumbe wa BMK kutoka ZNZ kutoka wajumbe 219 na kusema ni...
  5. N

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

    SITTA ni janga la kitaifa, adui wa "WANANCHI WANYONGE". Tatizo lake kubwa ni kwamba, ana damu ya u-chief, ni ndg wa FUNDIKILA liyekula rushwa mwl NYERERE akataka kumchapa viboko vya ------, majaji wa WAZUNGU wakamuokoa. Huyu mzee anaendesha jimbo lake, si kama mbunge, bali chief... Chief...
  6. N

    Rais Kikwete: Nimetimiza ahadi kwa asilimia 80

    Mimi nasemea zile ninazozijua: (1) akiwa MUSOMA, tuliahidiwa bara2 la kutoka Makutano juu hadi Arusha Km 500 kujengwa kwa lami, na hadi sasa hakuna hata KM 1 yeenye lami iliyojengwa na Kikwete; (2) alitahidi pia, kujenga chuo kikuu kikubwa chenye hadhi ya mwl NYERERE, pale BUTIAMA, kitaitwa...
  7. N

    Kumbe Mwigulu akiweka siasa pembeni ni mwelewa!

    Tanzania ni nchi pekee duniani, na watu wake wana tabia za pekee: ni nchi pekee ambayo utakuta watu wake wanachagua viongozi wake bila hata kuwahi kuwaona, japo kuwaona tu ... LAKINI kikubwa zaidi ni jinsi tunavyopenda watu wanaotetea 'maslahi ya taifa'... tunaweza kuwa watu wa vyama tofauti...
  8. N

    Ahadi ya Kikwete 2010 kujenga Chuo kikuu Butiama imeishia wapi?

    HAYA UNGEMWAMBIA MTOA AHADI JMK, HILI LINGEKUWA NA MAANA. PIA MWAMBIE kuwa hakuna haja ya kuwa na mabarabara kila mkoa, moja la juu kwa juu DAR linatutosha waTZ wote; wala shule za sekondari na msingi kila kata; chache kule morogoro AU ARUSHA zinatutosha; viwanda vya DAR vinatutosha hakuna haja...
  9. N

    Ahadi ya Kikwete 2010 kujenga Chuo kikuu Butiama imeishia wapi?

    UKO SAWA. Lakini MH RAIS alipokuwa akiomba kura, anakuwa kwenye ushindani na wagombea wengine. KUCHAGULIWA kwake na wengine kuachwa, kuna maana moja tu. MAANA YAKE ni kuwa tulikubaliana na ahadi zake, na za wengine tulizikataa. MH alituambia mkinipa kura, nitawatekelezea hiki na kile... period...
  10. N

    Ahadi ya Kikwete 2010 kujenga Chuo kikuu Butiama imeishia wapi?

    Nikushawishi ili iweje? ... sijasema hata kidogo kwamba chuo cha Butiama ni muhimu kuliko ahadi nyingine, kwanza mi2 sizijui hizo ahadi nyingine unazosema... ni wajibu wako we2 kuziandika ili wahusika wakumbushwe. Mimi ninamkumbuka MH JK atimize ahadi yake, period
  11. N

    Ahadi ya Kikwete 2010 kujenga Chuo kikuu Butiama imeishia wapi?

    Rais J KIKWETE akiwa amebakiza mwaka mmoja kamili wa fedha 2014-2015, na mwinginw ni nusu mwaka ule wa 2015-2016; ni wakati muafaka kuanza kufanya mapitio na marejesho 'retirement' ya ahadi zake za 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. MOJA ya ahadi ninazo zikumbuka ni ile ya kujenga chuo kikuu...
  12. N

    Kikwete amteua Mwandosya kuwa Mkuu wa Chuo MUST

    Chuo cha aina hii mkuu wake atakuwa KINGUNGE N. MWIRU
  13. N

    Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    MASKINI UJINGA MZIGO! "... Kiabakari pameendelea with all the socio-economic infrastructures in place... Butiama yapaswa kuwa developed kuwa Mji wa Kihistoria..." Kuna nini Kiabakari, bara2 ya lami, au ni2? Butiama kuna hospital, na kituo cha polisi, kuna makanisa na msikiti wa kisasa, kuna...
  14. N

    Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    NYERERE hakuwa na mizimu ya al qaeda... Butiama ni 'place of domicile' ya NYERERE maisha yake yote...
  15. N

    Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    UPUUZI TUPU ULIOANDIKA... Usichokijua ni kama usiku wa giza, wahenga walisema... Utawezaje kuishi MUSOMA ushindwe kuishi Butiama? HUJUI kuwa umbali kati ya MUSOMA na Butiama ni karibu sawa na umbali kati ya KIMALA KWA MSUGURI DAR na KAriakoo... Kama suala ni makazi, kwa nini wasiende kufanya...
  16. N

    Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    MAWAZO MFU TUPU. Sasa huko BUTIAMA kutaendelezwa na nani?
  17. N

    Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    MUNGU wangu ujinga mzigo! "place of domicile" ya NYERERE siku zote ilikuwa BUTIAMA. Huko MSASANI hakukuwa makazi, lilikuwa eneo la KAZI...
  18. N

    Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    HIZI zote ni fake, si saini za MWL
  19. N

    Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    Nimepokea kwa maskitiko taarifa kwamba madiwani wa Halmashauri ya BUTIAMA wanakataa kuhamisha makao yao kutoka MUSOMA kwenda Butiama, (1) eti hakujaendelea (2) eti hakufai kwa wao kuishi ............................... HII NI LAANA kwa madiwani hawa wa CCM Enzi za MWL hawa...
  20. N

    Kwanini Mwalimu Nyerere hakuwakaripia wajumbe wa G55?

    Kwa maoni yangu sabab n nyingi. Lakin sabab kubwa ni mbili: (1) NYERERE hakuwa na hoja za maana za kupingana na G55, kwa MAANA nyingine alikuwa amewekwa kwenye kona kisawasawa na G55. Na alichokifanya MWL ilikuwa ni kuwasikiliza sana tena sana G55, lakin si kwa nia njema _ nia yake ilikuwa ni...
Back
Top Bottom