Search results

  1. K

    Hatuwezi kuzidi kukosa akili na kuendelea kuimba nyimbo zao za 'CCM oyee' na 'People's power'

    Huna hoja. acha kulia, ya wakwezi waachie wakwez,kwa heri
  2. K

    Hatuwezi kuzidi kukosa akili na kuendelea kuimba nyimbo zao za 'CCM oyee' na 'People's power'

    Kuna maisha gani kwa watanzania? unataka maisha yawe kwenye rehearsal mara ngapi? elimu duni, huduma za afya hoi, hakuna vifaa na madawa, nk. kumbuka mabadiliko ni muhimu na lazima ktk maisha ya binadamu , yakunyanyue au yakushushe, huwezi epuka hayo.
  3. K

    Hatuwezi kuzidi kukosa akili na kuendelea kuimba nyimbo zao za 'CCM oyee' na 'People's power'

    Jipange upya, migogoro ndani ya chama kikubwa cha upinzani, kina kuathiri vipi kimaisha ukizingatia huduma za jamii siyo bora, utawala washeria hakuna , ufisadi na umsikini unaokua kila siku? tafakuri hiyo migogoro inawenyewe. usipige ramli eti wakishika nchi itakuwaje? watakaa miaka 5...
  4. K

    Makao Makuu ya CHADEMA yanusurika kuteketezwa kwa Moto!

    Propaganda tupu, mimi si chadema lakini kama tunataka maendeleo ya kweli basi tujaribu kuwa wakweli na kukubali ukweli, bahati mbaya watz tumeharibika, kuishi kiujanjax2, wale kama wewe mnaomudu kupata basic needs zenu kwa kupitia mfumo tawala uliopo ndo mnaona kwamba nchi haiwezi kuongozwa na...
  5. K

    Makao Makuu ya CHADEMA yanusurika kuteketezwa kwa Moto!

    Wacha mzaha, unaruzuku gani wewe inayosababishia wananchi maisha magumu na ukosofu bora wa huduma za jamii, utawala usiofuata shaeria, (Richmond,epa tangold, meno ya tembo,) nk. nafikiri tuko wengi wagonjwa wa akili.
  6. K

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    uko sahihi, maana hata hela ya rada walirudisha, pamoja na za epa, ha ha ha hata upulizie kinyesi perfume, bado hakitapoteza asili yake ya mnuko.
  7. K

    Ajiuzulu baada ya kuajiri mtu asiye na kibali cha kuishi UK, Mawaziri wetu huu ndio uwajibikaji.

    Mke si rasimali za nchi, mbona hivyo? unaweza comment nini juu ya hatima na ari mpya kasi mpya na maisha bora kwa watz wote?
  8. K

    Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

    Hata akisimama na baba mwana Asha atam-knock mbali sana, labda kama utaratibu wa EPA utumike ktk kuhesabu kura.
  9. K

    Maajabu ya kauli za mwenyekiti wa CHADEMA taifa

    Hii nayo ni kauli ya nani? au yenyewe ni kauli sahihi? ARI MPYA KASI MPYA MAISHA BORA KWA WATZ WOTE.
  10. K

    Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    Mwambie nae akaibe , lakini kama ni mitaani watamchoma moto, hivyo itategemea akaibe wapi, mamvi alibarikiwa na malaika shetani na huo utajiri ambao unachangikia kwa 100% taifa lenye amani kukaa gizani.
  11. K

    Nimerudi toka Operesheni Pamoja Daima, sioni muujiza wa kuiokoa CCM!

    WAJAWAZITO IRINGA WAZIKATAA BAJAJ ZA RAIS KIKWETE
  12. K

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

    Mambo ya ukuni yana kuumiza sana hahaha, tunaangalia hatima ya mbadala wa maisha ya watanzania , kazi na dawa kama kawa hahaha, cha msingi tunataka mabadiliko, tumetosheka na hali ngumu ya maisha duni pasipo sababu za msingi
  13. K

    Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Reply Reply With Quote Send PM...
  14. K

    Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Gizaaaaaa, aah umeme, aaahhhh maisha bora kwa watz, aaaaaa
  15. K

    Nape Nnauye: Process ya kumfukuza mtu CCM ni ndefu

    Mmmh ni tabia nzuri tu, tumeshindwa kuvikitimaizi mafisadi papa ila tunavikitimaizi watz kwa kuwajengea maisha magumu.
  16. K

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    I hate ufisadi kwanza kabla ya yote, demokirasia, haki, sheria kanuni na taratibu, havina nafasi kamwe katika ulimwengu wa utawala wa kifisadi na ni wajibu wa utawala huo kuhakikisha unasambaratisha harakati zozote za mageuzi zisizoendana na matakwa yao ya kifisadi kwa garama yoyote ile.
  17. K

    Nani anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani? andika jina hapa chini bila chuki...

    joshua_ok View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Today 14:44 #1...
  18. K

    Tofauti kubwa kati ya CCM na Chadema, Lowasa atafanya harambee ya bodaboda, Slaa na gongo

    Dr Wilbroad Slaa Speech at Stamford University USA Africa is transitioning from mismanagement, dictatorship and corruption that have plagued the continent. Corruption is the main vice depriving Tanzanians and other Africans a chance to economic prosperity. I am not here to beg, because my...
  19. K

    Tofauti kubwa kati ya CCM na Chadema, Lowasa atafanya harambee ya bodaboda, Slaa na gongo

    Uko funny kweli !!!, anyway ndo kumaliza mwaka hivyo kwa mastress, nakupa big up maana hiyo itakuwa harambee ya kufanikisha kununua majeneza kwa kila dereva wa bodaboda plus abiria.
  20. K

    Sakata la Zitto na wenzake: Viongozi wa CHADEMA, tafadhali badilikeni!

    You look to be one of the major funny among that society because you've looked the context in a short run. Let ZZK screw up alone, if he had been serious for what had been standing for " wellfare ya wananchi", he can join and keep on in any part and will get support, rather than weakening the...
Back
Top Bottom