Search results

  1. T

    Ufafanuzi wa Mnyika kuhusu tuhuma za CHADEMA kubadili vipengele vya Katiba...

    wengi wetu hapa hatujazisoma katiba hizo lakini nashindwa kuelewa inakuwaje tunaacha hoja ya msingi tunarukia kutukanana?,mnyika kwa nafasi yake yupo sahihi
  2. T

    Wabunge wa CHADEMA: Kwanini wanawakilisha Chama na kuwaacha watu waliowachagua?

    mtoa mada na wajinga wachache wanaokuunga mkono mna matatizo yenu binafsi huwezi sema mbowe,msigwa nk hawana akili jitathmini kwanza ww chadema hatuchagui viongozi kwa majina ya baba zao sisi tunaangalia vigezo na uelewa wa mtu
  3. T

    Bungeni Dodoma: Makamu wa rais Zanzibar akanusha Zanzibar kutoshirikishwa

    alichokifanya ni kutetea chama chake na si matakwa ya watu wa zanzibar ukweli utajulikana tu muda c mrefu yatawashinda watarudisha tena sheria hiyo ifanyiwe marekebisho tu maana imewashinda wamepitisha kwa wingi wao sio ubora wake
  4. T

    ARUSHA: Madiwani wapya wagundua ufisadi wa kutisha Halmashauri!

    huu ni mwanzo tu safari inaendelea
  5. T

    Haya ndo maisha bora?

    sekta zote matatizo na chanzo ni mfumo mbovu uliowekwa na serikali nadhani mabadiliko yanahitajika kuanzia ngazi za juu mpaka huku chini
  6. T

    Utawala Wa Kisultani Chini ya Kikwete Na CCM !

    hukumu yao imekaribia ni suala la muda uliobaki
  7. T

    Hilary Aeshi apokelewa Bungeni kama shujaa

    unafiki tu hamna lolote
  8. T

    Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    kwani ni lazima maoni yote yaliyotolewa na CCM yawemo kwenye rasimu hii itakuwa katiba ya watanzania wote sio wana-CCM au chama kingine chochote
  9. T

    Mama Anna Kilango na Tundu Lissu nusura wazichape (Picha)

    mama anatetea chakula chake toka kwenye chama chake
  10. T

    Wanawake 11 huko Mombasa wafanya ngono na mbwa

    Tatizo umasikini na tamaa ya dada zetu kupata wasivyokuwa na uwezo navyo
  11. T

    VIJANA CHADEMA wamvaa RPC Kamuhanda kwa uongo, uzushi, wakumbusha mauaji ya Mwangosi

    huyu bwana athanas namfahamu vizuri nilisoma naye shule ya msingi saba saba na akaendelea seminary mpaka kuja kupata digrii ya biashara na pia ameshawahi fanya kazi maeneo mengi hapa iringa.Mwaka 2010 aligombea udiwani kata ya gangilonga kwa tiketi ya CHADEMA ni mwanachama wa kawaida kama mimi...
  12. T

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    poleni waliothirika kwa namna yeyote
  13. T

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    ukweli utabainika tu
  14. T

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    kweli wanaoshabikia bila kuichambua ndio wajinga zaidi ya walioiweka
  15. T

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    nina imani na chadema pia viongozi wake haya mambo ya kutengenezwa yataisha na ukombozi upo jirani
  16. T

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Inatisha ila naomba vyombo vya dola msiipuuze
Back
Top Bottom