Nitakuja kuleta mrejesho mkuu. ila so far nimeshapaua, plaster, rough floor, umeme ushawaka, gypsum na kuiskim, septic tank zote taari, gril za madirisha na milango ya mbele na nyuma taari. hadi hapo imenicosts almost 46M. sehemu iliokula hela ambayo haikuwa kwa bajeti ni mchanga coz sikutumia...
Hahaa, Mkuu hakika umenikumbusha mbali aisee. Iliwahikunitokea nikiwa Arusha 2007 nimeenda zangu town stand kule kununua mkanda wa suruali ile ya utambi, sasa wakati nachagua akaja jomba mmoja kavaa barakashee akaniuliza habari za hospitali hivohivo nikamwambia sijui, akaja msamaria akamwambia...
Aisee safari ni Beer la maBeer,
Mimi huwa ninacode zangu, nikifika counter namwaambia kwanza nipe Safari iliyotengenezwa atleast mwezi1 uliopita na anitafutie shingo nene, hapo naburuduka mpaka basi...Safari ni Safari
Aisee namtafuta jamaa yangu anaitwa Kelvin Damian nilisomanae Enaboishu secondary Arusha huko 2006-2009. Alikua anaishi sanawari ya juu kabla ya mashineni. Kabila ni mmbulu. Tangu tunamaliza pepa ya mwisho sijawahi onananae tena. Jina la utani tulikua tukimuita Baba Jeriii
Uongo kwako mkuu. Nipo najenga now.
Itategemea wapi anajenga, aina ya nyumba na size ya nyumba na msingi atatumia material gani ndio itadetermine kiasi cha tofali za kutumia.
Mleta mada kaomba ushauri kwa pesa yake atajenga nyumba ya aina gani.
Binafsi nipo kwenye ujenzi na nimefikia hatua ya kupaua. Wakati naanza nilitaka msingi uendejuu kidogo kutokana na nature ya eneo na ulikula tofali 2,000 na wakati wa kupandisha ukuta hadi kwenye linta na kozi3 za juu nikatumia tofali 2,000 pia. Inategemea na aina ya nyumba yenye unataka.
Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.