Search results

  1. B

    Rais Sharobaro

    Ninamwezi sijacheka bujibuji umejitahidi nitafute
  2. B

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    kaka kama unamtoto hata kama ni mmoja unatafuta nini tena ,sasa wale hawajapata wafanyeje mkuu.
  3. B

    Maige afichua siri nzito maliasili

    maige naye akwende huko hii inji inahitaji mrema tu. hakuna anayekubali kosa bullshit
  4. B

    Tume ya Warioba kutafuna bil. 40/-

    Basi bhana inji hii ina wenyewe laki tatu kutwa poa ,wanafunzi endeleeni kupigwa mabomu kwa kudai mikopo
  5. B

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Narudia tena Tanzania bado sana maisha haya ya viongozi kulindana mwisho utakuwa mmbaya.Hapa mawaziri ni Magufulu,Mwanry ,Mwakyembe na Tibaijuka wengine ni manung'anyembe Tz iko kazi na Kigoda Tena duuu.
  6. B

    Baraza la Mawaziri Kutangazwa Leo...Tetesi za Wanaotajwa Sura Mpya...

    Katika hilo hakuna jipya mimi nashauri kuwa wizara wapewe wafuatao. Magufuli waziri mkuu,Mwanri tamisemi abaki,Mwakyembe miundo mbinu,makamba madini,filikunjombe utalii,Dr kigwangala afya.Nakomea hapa jazen na nyie
  7. B

    Majina ya sifa...

    Nadhani jike la mayai ni nzuri zaidi-opposit side
  8. B

    Majina yenye sifa mbaya

    mmmmm wewe acha ukweli je chenge
  9. B

    Uchoyo bwana, hebu usifungue hapa!

    Siyo nzuri ya longi sana hiyo.
  10. B

    Je unakumbuka nini miaka ya 80’s na 90’s.

    Nakumbuka mabasi ya kamata Mwanza hadi dar siku nne
  11. B

    Dogo kapoteza jiti analia

    Dogo ni mchaga huyo wa kibosho au marangu
  12. B

    Pinda ampongeza Spika kwa kazi nzuri

    Kaka hakuna malefu yasiyo na ncha,mwisho wa kupigana tafu uko around the corner.
Back
Top Bottom