Huo mkoa uendao si sahihi kama unaenda tafuta maisha na kianzio huna, njoo DSM ukiamua ht kutembeza pweza na ngisi kwny Sinia, ama samaki wa kukaanga kwny Sinia pia na chachandu kwa mtaji mdogo ht wa 20,000 utaishi bila wasiwasi...huku fursa za ujasiriamali ni nyingi...ht utumbo wa kuku watu...
Utaratibu wa loss report umebadilika, siku hz unaweza ijaza ht usiku wa manane kupitia simu yako, www.lormis.tpf.tz baada ya hapo unakwenda andikisha control no ya fomu uliyojaza ktk kituo husika cha polisi mf. Kwa Dar kuna Chang'ombe, Msimbazi nk. Itathibitishwa na polisi nawe ukaiprint popote...
Wanawatuma watoto wanajifanya " kanunue kiwembe nikukate kucha" afu anajisahalisha kumkata kucha mtt...nawaza tu kwa maandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.