We ni mfanyabiashara?
Una biashara yako ambayo unatamani kuikuza? Unataka kuitangaza ijulikane zaidi?
Or
Una huduma yoyote unayotoa unataka uitangaze mtandaoni??
Or
We ni mjasiriamali mwenye kutaka kuanzisha biashara lakini huna enough budget for matangazo???
Or
Una chochote kile ambacho...
If you want to start online business or you want to transform your business to online or you want to add online business to your business? and you do not know how? contact us we will help you all the way.....call 0712350285
visit Welcome to Apprux Corporation
Na wao wana mbinu zao but sio excuse ya sisi kushindwa kwasababu tunawakilisha matumaini ya wengi....ukweli ni kwamba siku chadema ikifa wengi hawatakuwa sawa
Mimi sio mfuasi wa chama chochote tanzania, you can not blame me but vyama vyote havisimamii slogan zao, zinafata siasa za upepo....All in all like everybody else nataka mabadiliko katika serekali, and nahisi chadema nao wanataka ichi, so mara nying najikuta nawaombea mema lakini kamwe sitaki...
Le mutuz mutu ya watu......now naanza kuhisi watu wakiwa na stress zao wanakuja kumpumzikia uyu jamaa...ye yupo always and ata uandike ujinga lazima ajibu hahahaha
Dah.....i used to thought wewe ndo tumaini la watanzania and the big reason because ulikuwa mwanasiasa bora chadema ambako wengi ni wanaharakati....ivi did it ever occur to your mind ukute wenzako nassari and halima wamekana kutoyasema ayo kukitunza chama????.....as u said siasa za urais...
Kusema uongo sio jambo zuri hata kidogo, inaonyesha kutojiamini kwa mbunge wetu huyo, kwani wapo viongozi wengi wenye elimu ya kawaida na ni watendaji wazuri... hiyo taarifa yake ya elimu ina utata tupu, hiyo A level ya mwaka mmoja 1982 hadi 1983 imenichosha zaidi.
Kusema uongo sio jambo zuri hata kidogo, inaonyesha kutojiamini kwa mbunge wetu huyo, kwani wapo viongozi wengi wenye elimu ya kawaida na ni watendaji wazuri... hiyo taarifa yake ya elimu ina utata tupu, hiyo A level ya mwaka mmoja 1982 hadi 1983 imenichosha zaidi.
hoja yako ni nzuri, hao waarusha wenyewe wameanza kubadilika, arumeru magharibi ina miundo mbinu mibovu sana, kuanzia sanawari, ilboru, mianzini, sakina, ngaramtoni n.k. huwez kuamini ni maeneo yaliyo karibu na mjini. na hakika chadema watachukua jimbo hili 2015, wajitahidi sana kulinda kura zao...
hoja yako ni nzuri...vijana ni taifa la leo na si vinginevyo, magamba hawana chao 2015, vijana wa sasa sio wale wazamani, wamechoshwa na ahadi hewa na ugumu wa maisha, ajira ndio kbsaaaa, nani atachagua magamba??? Bukanga, nassari kasoma degree ya sociology...
i have no problem with nape because kiukweli anachojaribu ndio wengi tunachojaribu sema tu yuko upande tofauti, then the rest ni siasa tu ila itafika muda utapata respect yako unayodeserve...ila tukiwa wote upande mmoja tutaonekana hatuna tija......ukweli ni kwamba kama kuna bomu linalosubiriwa...
kukosekana mtu anayesimamia sera ndio tatizo nahisi....na ukwel hamna chama tanzania chenye sera inayoeleweka, vyote inategemea na mahitaji ya muda na mahali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.