Search results

  1. new generation

    Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Mkuu, labda nikuambie ...hizi hybrid kwenye battery pack yake inakua na modules kadhaa mfano yangu inakuja na module (cell 28) zenye volts 7.2 zilizo ungwa in series na kutengeneza total voltages 201.6 (this is minimum voltage...na kuna kua na computer inayo monitor voltage ya every individual...
  2. new generation

    Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Unatisha watu wewe prius hizi tunazotumia bongo gen 2 na gen 3 bei ya battery haifiki 4.3m.... mie natumia prius toka 2017 kwanza sijawai pata changamoto ya battery wala nini. Pia battery yake ukienda pale garage ya Yokohama ya wajapan pale shaurimoyo (price ni 1.5m-2m) unapata every healthy...
  3. new generation

    Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Mie natumia full ev car na pia natumia hybrid car.....na nipo hapahapa bongo
  4. new generation

    SI KWELI Matumizi mfululizo ya vidonge vya Kuzuia ujauzito (p2) huondoa kizazi cha Mwanamke

    Kitu watu wanatakiwa kujua p2 inafanya kazi kwa ku extend time ya ovulation (yaan kusogeza muda wa yai kutoka kwenye ovaries kwa ajili ya kwenda kurutubishwa na mbegu).... Ila kama yai tayari limesha toka basi p2 haisaidii tena na mkifanya mapenzi na mbegu zikamwagikia ndani hata kama utakunywa...
  5. new generation

    Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Kwani kaisha saini offer letter? Kama haja saini hakuna haja yoyote yakuwaza kwakua hakuna contractual agreement between patties wa huo mkopo,...na kama kasaini ila disbursement haijafanyika aandike barua ya kisheria ku cancel hiyo loan kwakua purpose ya application ya hiyo loan hiapo tena...
  6. new generation

    Kati ya Nissan Qashqai na KIA Sportage utaenda na ipi?

    they are all junk cars... ila kila mmoja ana sifa zake.......ila kia zina muonekano mzuri kuliko nissan, ila KIA na mwenzake Hyundai wana changamoto ya quality ya injini so spea pia japo zapatikana kwa ku import.. kwa nissan qashqui ni nzuri pia ila kimuonekano KIA zipo njema...with nissan...
  7. new generation

    Engine ya gari kutoa sauti Kali unapopita kwa speed Kali kwenye rasta

    Isije kua gari ilizima kutokana na engine ku overheat... Yan pinging noise kwenye engine due overheating
  8. new generation

    Can we convert all our Vehicles to CNG Fuel powered? How to Convert Your Car To CNG Fuel Powered?

    Ukiwa hutaki hizi shida nunua gari hybrid rafiki...mie nipo na hybrid inanipa 25+km/l
  9. new generation

    Nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu

    Kacheck valvematic ya engini yako inaweza kua inashida... tumia scanning machine kujua why inafanya hivo ingawa kwa engine nyingi za sasa za Toyota zinakuja na valvematic na sio vvti, so valvematic motor ikifa engine inashidwa kua timed vizuri valve zake pale gari inapotaka more power from...
  10. new generation

    Je, unaweza tumia oil ya gear box kwa ajili ya power sterling (mfumo wa usukani)?

    Additives zilizomo ndani ya transmission fluid ni tofauti na additives zilizomo ndani ya power steering fluid...hivo sasa kutokana na utofauti wa additives hizi, seals/ valves za steering pump hazipo designed kutumia additives zilizomo ndani ya transmission fluid, na kama ukiweka transmission...
  11. new generation

    Haya ndio machimbo ya bidhaa Kariakoo

    Safi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. new generation

    Msamaha wa Kodi kwa magari ya umeme

    Nayo ipo poa tu..utunzaji wa Gari za hybrid za Toyota ni the same regardless ya model ya gari.iwe harrier, prius, filder, alphad, prius, aqua, camry, crown...etc... They all have the same working principles, same regular services... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. new generation

    Msaada, hii gari uki reverse kuna mlio wa kukita na ukiweka drive pia inakita hili ni tatzo gani?

    Au ndo kiduku hiki kinaitwa? Itakua huyu ndugu yako tangu amekua na hiyo rav4 hakuwai fanya service ya kubadili oil ya transfer case..now meno yametengeneza play katikati it can be a reason for this..ni common problem kwa neglected RAV 4...unless otherwise can worn inner CV joint,or worn...
  14. new generation

    Msamaha wa Kodi kwa magari ya umeme

    Kuna reason mkuu ya kufanya hivo..issue za thermo management, risk ya moto, replacement costs.. etc
  15. new generation

    Gari kupiga resi na kupandisha RPM ukiweka Parking na Neutral

    Any de- greaser spray inafaa, au throttle body cleaner...ina uzwa from 5k- 10k
  16. new generation

    Msamaha wa Kodi kwa magari ya umeme

    Ina kua na battery packs nyingi na kubwa zaid yenye KW capacity kubwa kuliko ya kawaida hivo kuweza kutunza chaji kwa umbali mrefu, but vingine ni kama ulivoseme pia inakua na driving features nyingi Zaid
  17. new generation

    Msamaha wa Kodi kwa magari ya umeme

    Mkuu you can replace the defective battery module at a very affordable price kuliko ku replace the entire battery box.. kusafisha pale Yokohama gereji, mtaa wa shauri moyo ukimpata kijana anafanya kwa 50,000 but ukiwa unajua wewe mwenyewe unafanya pia ni very simple DIY job
  18. new generation

    Msamaha wa Kodi kwa magari ya umeme

    gari za hybrid zinakuja na battery 2, battery moja ni ya kawaida ile ya 12V na hybrid battery yenye 201Volts, kuendesheka kwa kwa Gari ya hybrid endapo battery ile ya hybrid ikifa itategemea na set up ya hybrid system ya specific car manufacturer..mfano set up ya hybrid ya Honda ikitokea hybrid...
Back
Top Bottom