Huyu bwana anafanya kazi kisanii sana kwenye gazeti la Guardian On Sunday kama mhariri wa michezo. Bahati mbaya sana lugha inampiga chenga na pia hajui bahari za michezo, ninasikia kwamba kabla ya kuhamia kwenye magazeti ya Mengi alikuwa Daily News kama proof-reader, lakini leo ni mhariri wa...
Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza, yaani ni aibu tupu. Kwa ujumla ni kwamba anafanya kazi 'kisanii' sana. Nimesema hayo kwa sababu...
Ni vema wana siasa wakatambua kwamba wananchi wa sasa hawadanganyiki, wanahitaji sera zinazotekelezeka na siyo siasa za majitaka ambavyo baadhi ya vyama vimekuwa vikifanya.
Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti.
Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama...
Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti.
Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama mhariri...
Mimi nilikuwa mmojawapo wa wale ambao walikuwa hawajawasilisha taarifa zao benki, hivyo hatua ya beki kuongeza muda wa kupeleka taarifa hizo imenirahisishia kazi hiyo, sasa nina uhakika wa kuzipeleka bila tatizo.
Ni kweli Tanzania bila ubabe inawezekana, hivyo cha msingi ni ustaarabu katika kampeni badala ya kutumia hoja za nguvu, atumie nguvu ya hoja atakuwa amefanikiwa.
ukweli utajulikana kwani watanzania wa sasa siyo wa mwaka 47. Hawa ni watanzania siyo wadangatika wa enzi hizo na bahati nzuri vijana wamehamasika vya kutosha siyo kama zamani walidhani kwamba kumkataa mgombea ni kukaa nyumbani wakati wa uchaguzi bali kupiga kura ili kumwongezea ushindi yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.