Search results

  1. satelite

    Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

    Mi mwenyewe natumia star x, hiyo habari ya kwamba ukikaa pembeni unaona ukungu, kwangu haipo picha iko vile vile hata nikae wapi. Picha inaonekana vizuri sana hata nywele za kichwa cha MTU unaeza kuzihesabu. Natumia star x massa dubai
  2. satelite

    4G ya Vodacom ndio mfano wa kuigwa.

    Tatizo hizo GB15 kila siku wakupa MB 500 tu kutoka kwenye hizo GB 15
  3. satelite

    TCRA CCC Mkowapi Tunaibiwa Bando za Internet?

    Haja hajadanganya mkuu, hivo vifurushi vipo ila ni kupitia halopesa
  4. satelite

    finishing ya nyumba

    Kwa kazi nzuri ya finishing ya nyumba yako tafadhali piga 0768825541
  5. satelite

    Msaada, alama hii inamaanisha nini

    Hiyo alama inakuonyesha kuwa hujaweka sim card, ndo maana unaona kuna mchoro wa sim card alafu umewekewa x
  6. satelite

    Sheria ya Utumishi wa umma No.2 ya 2002 inawatambua wakuu wa wilaya/mikoa kama watumishi wa umma

    mkuu kiongozi pia ni mtumishi wa umma. au hujui maana ya (utumishi)?
  7. satelite

    Makonda vs ITV

    Kwani taarifa ya habari imeisha?
  8. satelite

    Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    Hata mimi nashindwa kuelewa kwa nini kamweka Ummy Mwalimu.
  9. satelite

    Kwa wapinzani wa This Day...

    Kweli kabisa
  10. satelite

    Kikwete wakati umefika kumjibu mrithi wako

    Hiyo kasi sijui iko wapi!!!?
  11. satelite

    CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

    Na HAMY-D chadema?
  12. satelite

    Kwanini masafa ya FM huanzia 80.00 na huishia 108?

    Habari wakuu, Naomba kujua kwanini masafa ya FM huanzia 80.00 na hayazidi 108. Kwanini isiwe chini ya hapo yaani 78.00, 55.9 au kwanini isiwe zaidi ya hapo yaani 109. na kuendelea? Kwa wanao fahamu naombeni jibu.
  13. satelite

    Lipumba: CHADEMA sasa wamekosa dira kabisa, ule UKUTA wao ulikuwa ni wa biskuti

    Huyu ndo Lipumba bana, alianza harakati za kuusaka urais wa jamhuri tangu 1995.
  14. satelite

    Mzee Kikwete hapa anamwambia nini Rais Lungu

    Mi naona kama Mh. Hajafurahishwa na hiki kitendo
Back
Top Bottom