Search results

  1. ZE DONE

    Alex Malasusa: Mnyika, wananchi wanawaona wateteeni!

    hayo aliyaongea askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT jana wakati wa uwekaji wakfu wa kanisa la Mabibo External, Mnyika akiwa mmoja wa waalikwa. Bila kung'ata maneno, Askofu Mkuu alisema muda wa woga na kubanwa haupo tena, Mnyika endelea kuwawakilisha wananchi; wewe na...
  2. ZE DONE

    Kwa hili nilikuwa nampinga sana Lissu ila sasa naona

    Jamani si jingine Ila ni hill la kuchangia ujenzi WA shule za sekondari nipo wilayani kilombero nalishuhudia kwa macho yangu pasipo ambiwa na Lissu. Jamani wananchi wanateswa wanalazimishwa kuchangia sh. 3000 kwa mwananchi nasema wanalazimishwa kwa sababu sioni uhiari WA mwananchi...
  3. ZE DONE

    Siyoi amefikisha kura za baba

    Wana CDM Tumeshinda Arumeru nimeandika kichwa cha habari hapo juu kwa maksudi maalumu ili tuweze kujua tatizo letu ni lipi. Hakuna kificho ukweli ni kwamba chadema ndio chama chenye wanachama wengi kuliko kingine chochote kile ila wenngi wetu tulikata tamaa na kuacha mambo yaende. Nataka kutoa...
  4. ZE DONE

    Madalali wa kuwatafutia watu kazi

    Ndugu Wana JF kwa madiba wenzetu wameandamana juu ya makampuni ya kutafutia watu kazi hapa kwetu yanazaliwa kama mchwa mara GINIUS mara PES mara DELOITE,Empower Limited, Global Careers Recruitment Agency, Global Careers Company na mengine mengi........... na mengi ya hayo ni ya wahindi...
Back
Top Bottom