Search results

  1. vennyvencer

    Music production

    umefikia wap on music production? ,mimi ni mtumiaji wa fruity loops na kidogo ableton live ,,,tunaweza kubadilishana mawazo nichk kwa 0657650403 ..
  2. vennyvencer

    Between your legs!

    ironman between your legs
  3. vennyvencer

    msaada- multitouch drivers za laptop toshiba satelite c-850

    wakuu naombeni msaada natafuta drivers (synaptics) za laptop yangu aina ya toshiba satelite c-850
  4. vennyvencer

    Tecno Phantom ushauri tafadhali

    so hiyo phantom nayo ina features kama motion sensor ,double tap to top,smart alert ,smart stay ,tilt to zoom,pan to move icons ,na camera ina modes kama za s4 (eg eraser mode) n.k
  5. vennyvencer

    Tecno Phantom ushauri tafadhali

    yap ni kweli kufananisha hizo cm ni sawa na kufananisha usingizi na kifo
  6. vennyvencer

    Xbox 360 for sale, Tsh 250,000

    upo wapi? iko kwenye condition gani?
  7. vennyvencer

    Bongo fleva beat - FL STUDIO

    Kijana hongera sana big up!!!! Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  8. vennyvencer

    Msaada kwa gamers

    game za nn playstation (psp),PC,phone?
  9. vennyvencer

    Matatizo ya sim.smart phone's

    nina galaxy pocket huwa ina tatizo la ku force close na kuandika "ONKEY 7S RESET" au saa nyingine huandika "USER FAULT NOT KERNEL PANIC UPLOAD MODE" na screen yote huwa black na kuwa na android logo
  10. vennyvencer

    Matatizo ya sim.smart phone's

    the same to me simuelewi
  11. vennyvencer

    Msaada: Airtel internet inazingua baada ya kutumia kama nusu saa

    nasukia zantel inakula sana MB issue nu voda ss
  12. vennyvencer

    Msaada: Airtel internet inazingua baada ya kutumia kama nusu saa

    ni kweli airtel huwa wana huo mtindo limitless yao ni kero tu au kuna mwenye altenative ? :D
  13. vennyvencer

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Kwa kwel hill climb racing ni game lenye physics nzur android users you cant miss this nimeshali commplete
  14. vennyvencer

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Hiyo kitu ni upo kama upo highway kuelekea kwenye destination flani na zombies wanadandia gari lako ili waliangushe sasa ww unatakiwa u get rid of them kwa kuwabamiza kwenye magari mengine njiani au kwa kutumia ammo/silaha ulizonazo na utawa shoot kwa kutumia red spots ambazo zipo pembeni ya...
  15. vennyvencer

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    yap zombie highway ni free app ipo google play /playstore na ni ya ukwel kwa wapenda ma game
  16. vennyvencer

    Nisaidieni namna na maana ya ku root simu

    sasa inamaanisha mkuu kuwa uki brick simu kuna altenative ya kuikomboa?? na hiyo fast boot ni unakuwa nayo kwenye simu au PC??vilevile uki root simu utakuwa unatumia apps 4 rooted phones au zote za unrooted na za simu iliyokuwa rooted? coz mi mwenyewe nina mpango wa ku root samsung galaxy...
  17. vennyvencer

    msaada/ushauri wa ku root samsung galaxy pocket

    msaada kwa wakubwa wanaojua masuala ya ku root hizi android phones hususan samsung galaxy pocket ambayo ndiyo simu niliyonayo hivi sasa na naomba tujulishane kuhusu faida na hasara za ku root hizi simu na hivi inawezekana ku unroot galaxy pocket inawezekana??na kipi bora kati ya hivi ku root au...
  18. vennyvencer

    Je, ushawai kutumia Amazon.com kununua bidhaa online?

    wakubwa mbona nasikia kuwa ebay ni nzuri zaidi kwa kuagiza vitu kuja africa na amazon inasumbua kwenye kuagiza bidhaa
  19. vennyvencer

    samsung galaxy pocket s5300 wakubwa naombeni msaada

    nina samsung galaxy pocket inayo nisumbua nikiitumia baada ya nuda huwa inaniletea blank page na kuandika. "" : User Fault Not Kernel Panic Upload Mode""na nikihold kuwasha baada ya sekunde kama 8-10 hivi inaniandikia ONKEY 7s reset naomba msaada kwa wale wote wanaojua hii masuala ya hizi android
Back
Top Bottom