Search results

  1. K

    Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zimekuwa chungu kwa balozi mmoja nchini, baada ya kuibiwa simu yake ya mkononi yenye thamani ya zaidi ya sh milioni moja. Habari ambazo zimezipata zilisema kuwa simu hiyo iliibwa katika mazingira ya kutatanisha wakati wa dhifa ya...
  2. K

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Wanaume huwa wana kitu kimoja; akishatembea na mwanamke anajua huyo ni wa kwake tu na hata wakiachana akimua kutaka kumrudia anajua atampata kwa vyovyote kwakuwa si walishakuwa pamoja huko nyuma. Wanapenda sana kuutumia huo mwanya. Huwa wana moto sana wakiwa mawindoni na wanakinai haraka mno...
  3. K

    Neno fasaha...nilipi?

    Ni mrabaha.
  4. K

    My Predicament

    Haemoglobin levels below 11.0 is detrimental to your health, most especially if you are an expecting mother. Pamoja na kutumia greens kwa sana, pia tumia dawa inaitwa Hemovit. Hii ni syrup. Use 2 teaspoonfuls, thrice daily for as long as the levels get back to normal. Inapatikana kwenye maduka...
  5. K

    Msaada kuhusu CPSP (PSPTB EXAMS)

    Tarehe ya mwisho ya kujisajili kufanya mitihani ya Bodi (Examination Registration) ni Machi 31 kwa mitihani ya mwezi Mei na tarehe ya mwisho ya kujisajili kuwa mtahiniwa wa Bodi (Candidacy Registration) ni Februari 28. Baada ya tarehe hizo utapaswa kulipa faini ndani ya wiki mbili, kwa kila siku...
  6. K

    Msaada kuhusu CPSP exams!

    Tarehe ya mwisho ya kujisajili kufanya mitihani ya Bodi (Examination Registration) ni Machi 31 kwa mitihani ya mwezi Mei na tarehe ya mwisho ya kujisajili kuwa mtahiniwa wa Bodi (Candidacy Registration) ni Februari 28. Baada ya tarehe hizo utapaswa kulipa faini ndani ya wiki mbili kwa kila siku...
Back
Top Bottom