Search results

  1. C

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    Mtoa mada we ni tambara kama unataka kujadili suala la elimu ya wabunge mtaumbuka na magamba yeni embu tupambanushie CV ya Michael Lekule Lizer (MB) Longido na Maji Marefu kama hutapoteza fahamu zako finyu kama ufagio wa buibui.......
  2. C

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Mi nadhani sasa ifike mahali tuvae uhusika na kuwanyookea hao ******* wanao jiita "ngazi za juu" kwani wanajisahau sana utadhani hawahuzaliwa na Mama bana tuacheni kuvumiliana mpaka inafikia mtu kutolewa uhai kwa manufaa ya wajinga wachache.....
  3. C

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    Jamani sasa fike mahali Watanzania tusimame kwa Tanzania tuache nidhamu ya uoga na udhaifu usio na manufaa kwanini tusiungane kwa pamoja na kuihoji serekali juu ya uozo na utumbo unaoendelea? Poleni sana Madaktari haswa Dr. Ulimboka usihofu Mwenyezi Mungu atakuafu... Heri kufa ukipigania Haki...
  4. C

    Hotuba ya rais Kikwete ililenga kujibu tuhuma za Godbless Lema?

    Kila nafsi itasaka haki popote na kwa vyovyote itakapobidi. Hata wakati wa mkoloni kulikuwa na baadha ya watu walipenda kuendelea kutumikishwa na kukosa haki ila kuna waliochukia ndio maana zama hizo zilitoweka na kudidimizwa kabisa. Sasa niwakati wa mapambano ya kumtokomeza adui ujinga kwa...
  5. C

    Mkutano wa leo jangwani, viongozi CDM epukeni kauli tata.

    Mtu akiamua kukuwinda atakupata tu hata ukijaribu kutumia mbinu gani hawashindwi kusema mmechochea machafuko these people are idiot.....
  6. C

    Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

    Nawashangaa sana nyie mnaokazana kusema CDM ni chama cha kauli na hawazitekelezi hao magamba wameshawahi kukutekelezeeni mangapi? Barabara, umeme, maji, elimu, afya,maisha bora kwa kila mtanzania lipi kati ya hayo kwako limefanikiwa? Wachani kwa washabiki wakinafiki ulitaka hata akitumia gari...
  7. C

    Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kuvuliwa ubunge kwa wana Arusha

    We kuwa na akili hata kidogo punguani wewe unavyo sema Lema mwizi utadhani kawahi kuiba kwenu kichefuchefu mzito wewe...... Hao walioiba ma twiga, tembo, faru, hela za BoT, radar, ndege ya jamaa huwaoni ukawaita wezi kichwa chako ndio cha mwendawazimu kweli kama Tz ilivyo.......
  8. C

    CCM yajikanyaga kuhusu jimbo la Arusha Mjini!!

    Tamko lilishatoka kwa wananchi wa Arusha hata likisimamishwa jiwe Chadema na mtu maarufu CCM ndani ya Arusha jiwe litashinda tu.! Kwani huyo Chitanda akili yakeikoje?
  9. C

    Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Kwa habari zilizo nifikia ni kwamba Mwenyekiti Mbwambo ndio aliyeongoza vuguvugu la kukamata kura fake kwa baadhi ya viongozi wa CCM sasa inawezekana kabisa kwamba hiyo ni hujuma ya kisiasa R. I. P Mwambo.
  10. C

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Hell no na hapo wakizingua tunawasha moto kamili sasa maana ya Arusha tumewastahi, mawaziri wamegoma kujichomoa mwiba, Pinda kawekuwa ukuta tena na mwanamke sasa huko kwa Lisu wasizingue jamani..
  11. C

    CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

    Wanafaa kujiuzulu wote walio banwa kwa kashfa kwa namna moja ama nyingine sio hao tu na sio tu kujiuzulu pia wafanyiwe uchunguzi wa kwanini walishindwa kazi.....
  12. C

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Mjomba umeangukia shimo la siafu bro unawezaje kujitamba na kusimama kifua mbele kwamba "chama kiko imara" hata haya huna mnakamatana ugoni wenyewe kwa uongo still na wewe hapa unaendelea kudanganya takwimu na idadi una tupa ya enzi za azimio we ni punguani kaa hapo kama jinga man subiri heshima...
  13. C

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Duh kwani kujiuzulu kwao ni kinga ya kutokufilisiwa??? Mi nadhani ingekuwa vyema nakupendeza kama inpofika mahala kiongozi anahitajika kuwajibika na kufilisiwa pia ikiwezekana avuliwe madaraka yote aliyonayo kumuondolea kinga ya kisiasa.....
  14. C

    Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    Hata wakikwepesha hukumu yao ndio inavyozidi kuwa mbaya wanatakiwa wasisahau "the ealier the better". Wabunge vijana na wageni CCM hao jamaa wanatengenezea wakati mgumu kwenye uchaguzi ujao wakijua hata wasipo chaguliwa walishachuma zao zakutosha.....
  15. C

    Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    Huyo mama kwanini asitengenezewe hata skendo au ajali kama ya E.M. Sokoine akafie mbali huko matakwa yake......
  16. C

    Wananchi wa arumeru kuvamia mashamba ya "singa" leo usiku

    Our time is now people what we need is Tanzania for Tanzanians not Tanzania for interested investors who help us nothing but we help them to be much rechier and we going very much poorer.... Just let them go for their land.
  17. C

    Tundu Lisu kiboko wa Pindaaa

    Dawa nikuachana na siasa za ushabiki tugeukie uzalendo sasa hawa jamaa zetu wa magamba wanajisahau sana wanakomalia ushabiki wa kijinga zaidi ya usimba na uyanga.
  18. C

    Brg Gen Mwakanjuki afariki dunia

    It's all about the time coz the Holly Bible says "time and chance happen to them all". R. I. P Br. Jen. Adam Mwakanjuki.
  19. C

    Nafasi za kazi Precision Air

    Mmmh mitoka nakuwa mkubwa sijapata sikia ndege imedondoka kwenye maji kama zinazo dondoka nchi kavu au ndii kusema hao marubani hawajui kucharaza maji poa???
  20. C

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    "Only time will tell". Godbless Lema alisema kabla ya kufunga na maombi mazito juu ya maamuzi wazimu ya serekali yetu na sasa hizi ndio sidekick za Lema.
Back
Top Bottom