Ningeomba kama kuna watu wanajua maandiko ya kale bible, quran na vingne wanisaidie kupata uelewa zaid kwa hii sauti sijapata majibu ya kueleweka kabsa "SEMA HIVI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE HUTAKUFA "na kweli baada ya kurudia asee Kifo kikaniachia nikarudi tena duniani yan mm leo...
Mkuu ata mm huwa nilijiuliza sana mpaka nimewafata mapasta wengi nao majibu ni kuwa mungu mtu ni yesu, kwamba ni Mungu ndani ya mwili wa binadam ila hakuwa binadam japo alikuwa na sifa karib zote za binadam. Ila ile sauti inanichanganya mpaka leo siielew kabsa
Next time nitawaambia balaa lingne ila sio hili la mambo ya ajabu ni mkasa ulionikuta kweny nyumba za kupanga ambapo ilitokea kila mpangaji wa kike (wake za watu) walikuwa wanataka nilale nao yan wote kila mtu alikuwa anakuja kwa time yake ilikuwa mwaka 2017.
Jamani baada ya muda nilikuja kujua Mungu mtu nilikuwa naambiwa nitamke ni YESU KRISTO (JESUS CHRIST) ila mimi frankly speaking napata shida sana kukubali yes! Yan msimamo wangu mm kwanza siziamin kbsa hiz din za watu weupe yan nahis kuabudu din zao bado tupo utumwani.
Ni ukwel usiopingika...
Inaendelea...
Hello habari, naam kipande kinachofata ni baada ya matokeo kutoka nikafaulu na kuendelea mwaka wa tatu. Kwenye lile somo la yule lecturer mtata tulichomoa sup watu kumi na moja tu kat ya 195 wengne walirud wakaendelea na utaratibu mwngne.
Basi masomo yalianza kwa speed sana na...
Kaka kuna mahali niliandika wakati nakaribia kabsa kufa kilikuja kivuli upande wangu wa kiume kikaniambia nitamke maneno haya "SEMA HIVI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE HUTOKUFA UTAISHI"
Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT).
Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.