Search results

  1. Asabaya

    Ukimtumia mumeo picha za rafiki yako ni akili kweli?

    Habari zenu waungwana, Kuna jambo limenikera kupita sana naomba kupata ushauri weni. Nina shogayangu na vile vile ni mkumbwa kwangu kidogo kwa umri,urafiki wetu sio wa mda mwingi kama mwaka hivi, yeye ameolewa na mumewe hayupo nae mji mmoja yuko mji nilio mimi na mara nyingi sana hupenda...
  2. Asabaya

    Re:Apewa Talaka kwa kutengeze Buno.

    Habari ya Weekend waungwana, Mtoto wa mamangu mkubwa amerudi nyumbani asubui na vilio tele nikajua amefiwa na mume, manake walikuja wote nyumbani baada ya mume kusafiri aliporudi tulimualika nyumbani na kwakua waliowana mtoto wa shangazi na mjomba kwahiyo sote mle mle ndani ya famlia, basi...
  3. Asabaya

    Kaja kuomba samahani bila aibu

    Hali zenu wana MMU? Kuna jambo nashindwa kulielewa, mdogo wangu aliolewa na jamaa ambae hata kazi alikua hana tukamsaidia kumpa mtaji mpaka mambo yake yakawa sawa, alipopata vijisenti akamjeuri kupita kiasi, na muchepuko ndio usiseme. Yote haikutukera, akapata mwanamke ndio jeuri ikazidi...
  4. Asabaya

    Mke wa pili sikai wa tatu ntakaa!!!

    Ndugu wanaa MMU, Leo nna jambo linanichokoa roho kupita kiyasi na limeninyima usingizi kwa kiasi flani. Naana mdogo wangu ameolewa nchi za nje na amebahatika kupata watoto 4 mumewe nimfanya biashara hakuna asichopewa mdogo wangu na mumewe tatizo limekuja pale mume alipoongeze mke wa pili...
  5. Asabaya

    Ramadhani mubarak .

    Habari za usiku ma bibi na mwabwana, Napenda kuwapa mkono wa Ramadhani ndugu zatu waislam,sie tulioko arabuni inshallah tunaanza kesho,kufunga. Nawatakia Ramadhani njema, inshallah Mwenyezi mungu akubali touba zetu,atujaalie kheir na baraka sie na wazee wetu na watoto. Atupe wepesi kwenye...
  6. Asabaya

    Raha jipe mwenyewe..

    A lady load onto a bus carrying her baby, seats next to a man, she starts to breastfeed the baby, baby refuses to suckle, she yells at the baby “ebu nyonya ama ntamnyonyesha huyu uncle yupo hapa next seat”…. Kids suckle for a while then stop, Mum yells again “nnakwambia unyonye ama ntamnyo...
  7. Asabaya

    Japokua nampenda lakini ukewenza sikubali...

    Babari zenu waungwana, Kwamasitiko makubwa sana naandika haya,mimi ni mama wa watoto 2 tumeishi na mumewangu kwa dhiki kiasi ambacho hata hela ya kodi nalipa Mimi na haikunikera nilijua kua ipo siku mumewangu atafanikisha,nilikua kipenzi cha wazazi wake mpaka mawifi mungu akajalia nikapata uwezo...
Back
Top Bottom