Search results

  1. R

    Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Ile mechi Simba walijituma sababu Wenga na Frantino walikuwepo..
  2. R

    Simba yaporomoka viwango CAF

    Simba akiporomoka deportivo utopolo itapanda, akili matope
  3. R

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Kwani Kuna tatizo mkiristo akanyiwa Dua, wazee wa zamani wa kiislamu hawakuwa na chuku na watu wa Imani nyingine,, waliishi nao vizuri nao vizuri na kushirikiana nao kwa shida na Raha. Upo uzi unaosifia waislam walioshika dini walivyo waaminifu hasa katika biashara. Tatizo lipo kwa wale...
  4. R

    Zitto Kabwe Katiba ya Chadema haina Ibara ya watu kukubaliana kugawana madaraka ya Chama kama karanga, kama ipo tuonyeshe

    Kama walikubaliana Basi Chadema litakuwa chama Cha ajabu Sana maana chaguzi wanazofanya ni maigizo, lakini inawezekana maana Chadema walipora madaraka ya kuchagua mgombea urais mwaka 2015 na watu wachache kumpitisha marehemu Lowassa
  5. R

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama walimpa silaha ili ashambulie ndani ya Urusi wacha waipate fresh
  6. R

    News Alert: FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

    Mpaka Sasa wamepata hasara ya Chama kuumia
  7. R

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto huyu aliyeshindwa kutengeneza bajeti mbadala ndio apewe uwaziri wa fedha, inafikirisha
  8. R

    Benchika is right, tunacheza kwenye matope na tactics hazifanyi kazi. TFF ni failure

    Tff inaendeshwa kisiasa, tatizo kubwa ni viongozi wa vilabu hasa Simba na yanga, Bodi ya ligi ni ya kwao Ila wanaendeshwaendeshwa tu. Kama wangejali ubora wa ligi, ligi ingechezwa viwanja visivyozidi 5 hii ingefanya wenye viwanja vingine waviboreshe.
  9. R

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Unafahamu tatizo la Simba ni nini, Kama ungefahamu usingemzungumzia Ibenge
  10. R

    Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Mwalimu alikuwa na Nia thabiti ya muungano Ila alichowaza yeye sicho walichowaza wengine. Mwalimu alifikiri baada ya wazanzibar kuona faida ya muungano wangedai serikali moja kumbe hakuwajua kiundani kuwa ni wabinafsi kupindukia
  11. R

    Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Karume alitaka serikali moja Nyerere awe rais yeye makamu lakini Mw. Nyerere alikataa. Kabla ya kupost maswala Kama haya ni vizuri ukasoma historia ya nchi
  12. R

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Hivi kibu , Saidoo, Shabalala wanacheza kwa kufata maelekezo ya mwalimu.
  13. R

    Howard Webb: Lulu ya Soka katika Dunia

    Hii takataka ilipewa promo ikachezesha fainali ya kombe la dunia Afrika Kusini kilichotokea ni aibu mtu anarukiwa kifuani anashindwa kutoa kadi
  14. R

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Wapo wengi Karume, Hasanni Moyo, brigedia Mwakanjuki
  15. R

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ameongea ukweli, nchi za kiafrika zikianza kujitambua Kama burkinafaso ulaya itakufa
  16. R

    Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    Hivi vyeo Kama umeya unakaa Hadi. Kipindi kinaisha au mpaka uayaa
  17. R

    Ni hatari sana hadi leo Simba hawajajua tatizo liko wapi mwaka wa 3 huu utopolo wanabeba ubingwa

    Tatizo ni mo na uwekezaji wake wa kimagumashi Ila tatizo kubwa ni wanachama wa Simba hawana uchungu na timu na kushindwa kuhoji Mambo muhimu.
Back
Top Bottom