Search results

  1. Michael Richard

    Agiza Viatu China Ukiwa Na Mtaji Chini Ya Millioni Moja

    Habari Wakuu.... Poleni na majukumu... Hihisi kila moja wetu anafahamu kwasasa ulimwengu wote upo online. Basi Siku moja katika pitatita zangu za kufanya research ya bidhaa tofauti tofauti katika maduka ya online namaanisha Alibaba, Made in china na 16688 n.k Sasa wakati swipe up baadhi ya...
  2. Michael Richard

    Single Hot air gun inauzwa bie rahisi sana

    Single Hot air gun Input 220V Power 450W Location: Mbagala Delivery popote nimakubaliano tu Bei:50000/= No: 0788906890
  3. Michael Richard

    Kama Wewe Nikijana Na Unandoto Zakutoboa Pita Na Hii...!!!

    Habari wakuu, Leo nimewaletea mchongo wingine. Nafikiri kila mmoja anafahamu smart watch nini? Kama haufahamu smart watch nisaa ya mkononi inayotumika kama kisaidizi cha Simu ya mkononi. Hutumika kupiga simu, kuchati online na kawaida, video call n.k Kwasasa hizi smart watch zina soko sana...
  4. Michael Richard

    Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Habari, Mimi ni mpenzi Sana wa kusoma majarida mbalimbali online. Sasa siku moja nikukuta jarida likijadiliwa linalo husu kuagiza bidhaa kutoka china hadi dar kupitia Alibaba, Ali express, 1688, Taotao,Yuwin. nk Nikajiseme nami nikajaribu kwa kufuata hatua hizi nilizo soma kwenye lile jarida...
  5. Michael Richard

    Tunauza simu ndogo aina ya Nokia kwa bei sawa na bure:

    Jipatie simu ndogo ya botton aina ya Nokia kwa bei ya jumla na rejareja: Nokia 106 Berri 1700mAh Full box Warranty 12 month Bei: 25000/= Jumla 21000/= Tunapatikana Dar es salaam,mbagala Tunafanya delivery ndani ya dar na mikoani piah bidhaa zetu ni uhakika karibuni: Kwa mawasiliano tupigie...
  6. Michael Richard

    Kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express

    Wazee, Mimi nipo Mbagala naomba kuuliza kwa wanaojua au kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express. Mimi nataka kuagiza kitu kupitia Ali express ila inanishinda.kwa sababu nilishazoea kuagiza kupitia alibaba. Na kwa alibaba ipo ivi na mtumia supplie wang Address ya agent wangu na...
Back
Top Bottom