Search results

  1. M

    Girl's and Men's inbox

    Ukiona mtu kakasirika kuna mawili! Limegusa mguso chanya au Hasi! kuweni wazi! mbaya sana!
  2. M

    Sijawahi penda

    Kinachokusumbua kikubwa ni kujitambua uko wapi na unahitaji nini na kwa wakati gani! Tulia au nenda kwa watalaam wa Seikolojia upate ushauri kilingana na umri wako! sawa!
  3. M

    Tetesi: HUSEIN MAKURUZO KATOKA MAHABUSU

    Sijamuelewa mwandishi labda tuibue mchango kwa kumkumbusha! ila mtu huyu binafsi kwa sasa sijui aliko japo jina lake na alichofanya katika soka hakijafutika kihivyo ukitaja Coastal Union!
  4. M

    Lowassa chanzo cha matokeo mabaya kidato cha nne.

    Hukumu ya haraka huonea! Fikiria kiwango cha Elimu na mitaala ya siku za nyuma, walimu wa wakati huo na sasa! mazingira ya utoaji elimu, rasilimali vifaa, Rasilimali fedha, wingi wa watu, na kizazi hiki! UTAPATA JIBU! SI HILI LAKO!
  5. M

    Binti wa Mkuu wa kaya

    Hivi macho huweza kuhamisha yaonacho" ? tehe tehe tehe! Labda siku moja.............................................! Iabaki hivi hivi!
  6. M

    My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

    Hivi ukilewa unalewa viungo vyote vya mwili? Kuwa makini sana!
  7. M

    My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

    Kaka hiyo ni noma! Kwisha hiyo ishu labda utoweke maeneo hayo! Kitakachaofuta utakiona kikitokea mimi na wewe hatujui! Pole sana.
Back
Top Bottom