Mafuriko mwezi ujao (September ).
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikishajambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao.Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili halihii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete...
Umenena wangu!
Waefeso6:12
Kwa maanakushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidiya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Unahitaji uwe mtu wa kiroho zaidi kuelewa anachokisema mkuu hapa....otherwise hongera umeongea vitu vya ndani sana, ni elimu ambayo binadamu wengi hatunayo ndio maana tupo kwenye manyanyaso makubwa...Big up mkuu!
Muhimbili, MOI hali bado si shwari
Send to a friend
Thursday, 05 July 2012 20:01
0diggsdigg Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakimpeleka Mgonjwa wodi ya Sewahaji jana baada ya...
Mtumie sms dada yakokupitia namba asiyoijua then chimba mkwala na kuelezea jinsi unavyotambua Uhusianowake wa n je,elezea vile vitu vya muhimu kumfanya ashtuke ikibidi taja na jinala huyo mgoni aka Jizi .eleza pia na ushahidi wa picha pia unao .then mwambiewewe ni rafiki wa karibu na mumewe au...
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.