Search results

  1. T

    Nataka kwenda Afrika Kusini

    Habari ndugu zangu, kama kichwa kinavojieleza, nataka kwenda south Africa kukaa siku Tatu. Kuna nyuzi nyingi zinazoelezea safari ya kwenda South Africa ila ni za muda kidogo. Wakuu naomba kufahamu yafuatayo: 1) Documents ninazo takiwa kuwa nazo achilia mbali passport na yellew fever. 2)...
  2. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Habari wanabodi? Naomba kujua kwa mtu aliachishwa kazi Serikalini na alikuwa na mkopo wa Bank. Ile hela ya mkopo inalipwa kwa namna gani na Bank wanawezaje kumbana mteja wao? Natanguliza shukrani.
  3. T

    Mashine ya kuprint T-shirt heavy duty

    Wadau habari za muda huu? nahitaji kujua mashine nzuri ya kuprint t-shirt, mtengenezaji, bei yake na pia kwa Dar nitapatia wapi? Asante
Back
Top Bottom