Search results

  1. T

    Nataka kwenda Afrika Kusini

    Habari ndugu zangu, kama kichwa kinavojieleza, nataka kwenda south Africa kukaa siku Tatu. Kuna nyuzi nyingi zinazoelezea safari ya kwenda South Africa ila ni za muda kidogo. Wakuu naomba kufahamu yafuatayo: 1) Documents ninazo takiwa kuwa nazo achilia mbali passport na yellew fever. 2)...
  2. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Shukrani sanaa mkuu kwa maelezo,,, nmekuelewa.
  3. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Mkopo wa Bank kupitia ajira ya serikali. hakuna dhamana ya mali yoyote.
  4. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Shukran sanaa kwa maelezo mkuu labda nilikuwa na taarifa zisizo sahihi
  5. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Nmekuelewa mkuu,,, ila ukirejea kwenye Mada ni hatua gani ya moja kwa moja anayoweza chukuliwa mteja endapo atashindwa kufanya marejesho kama akiwa amefukuzwa kazi?
  6. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Naomba unieleze 'security fund' kwenye bank ingine ipoje boss, asante
  7. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Sasa kwa wale wanaingia kazini then wanafoji na kupata barua za uthibitisho alafu wakakopa hata mwezi hawana inakuwaje?
  8. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Shukrani,(kwa mtu aliachishwa kazi) sasa Kuna barua inatokea Bank kwenda kwa mteja kumtaka alipe pesa na kuelezea hatua watakazo chukua asipolipia mfano kupeleka deni kwa zile agencies za ufilisi.
  9. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    shukran mkuu kwa kumueleza ilo jambo
  10. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Ndio Bima ipo,,, ila sasa Kuna barua wanamtumia mteja wao kumtaka kurejesha mkopo.
  11. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    kwa mfano mtu alipata ajali sasa mda mrefu ameshindwa kufanya kazi hadi amekuwa terminated
  12. T

    Mkopo wa Bank baada ya kuachishwa kazi

    Habari wanabodi? Naomba kujua kwa mtu aliachishwa kazi Serikalini na alikuwa na mkopo wa Bank. Ile hela ya mkopo inalipwa kwa namna gani na Bank wanawezaje kumbana mteja wao? Natanguliza shukrani.
  13. T

    Mashine ya kuprint T-shirt heavy duty

    Wadau habari za muda huu? nahitaji kujua mashine nzuri ya kuprint t-shirt, mtengenezaji, bei yake na pia kwa Dar nitapatia wapi? Asante
Back
Top Bottom