Search results

  1. S

    Maaskofu kuachwa kutamba wapendavyo, watu Wa imani nyingine tunajifunza nini?

    Ukitaka kujua umuhimu wa Mungu angalia neno la kwanza lililopewa kipaumbele kwenye wimbo wa taifa, walimpa Mungu nafasi ya kwanza kwenye taifa hili,Mungu ni wa HAKI na ikiwa tunataka baraka za Mungu tujifunze kutenda HAKI kila mmoja kwa nafasi yake, Baraka haiwezi kuwa HAKI yetu ikiwa kuna...
  2. S

    Nimeshangazwa kumuona Mrema kwenye mkutano wa CCM Dodoma

    yeye alishasema yeye ni CCM B usishangae !
  3. S

    Tupunguze kuwaza ngono

    Mbona unalalamika juu ya wanaume tu je wanayofanya wanawake haujayaona hebu hemu gusa na yao maana hakuna aliebora unakuta mwanamke /binti ana mikono na miguu hana kilema chochotevna ana nguvu za kufanya kazi kwa nn akajiuze huo nao ni utumwa wa ngono
  4. S

    Tupunguze kuwaza ngono

    Mbona unalalamika sana juu ya wanaume wanayofanya wanawake hauyaoni
  5. S

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Kama wameweza kuuza chama chao ndo washindwe kutuuza watanzania du umakini no muhimu
  6. S

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Tutabishana kwa mambo yasiyo ya maana wabunge ni WAWAKILISHI TU ikiwa wameshindwa kufanya tulichowatuma Kufanya kama WAWAKILISHI ni bora waturudushie mchakato huo WENYEWE TUPIGE KURA tuwaonyeshe nn tuna taka lakini kwa kuwa wanatumia mabavu na collapse system zao watakataa na kutokubaliana na...
  7. S

    Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

    Jamani wadau ningependa kujua kutoka kwenu vigezo muhimu vya penzi changa linalochipukia ni vp
  8. S

    Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

    jamania wadau ningependa kujua vigezo muhimu vya penzi changa linalochipukia vnakuwaje
  9. S

    Biashara ya wine kutoka Dodoma

    ni vzuri lakin lazima ufanye cost analysis, market survey na ufanye risk analysis ni vizuri kama utakuwa na wateja wa uhakika kwa kuongea nao na kukubaliana nao uwapelekee na wateja wako wakuu ni mabaa grocery na hotel pia kama utawaza uwe na flame kwa ajiri wateja wengneo but i hope kama...
  10. S

    Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

    hongera kikwete maneno matupu hayavunji mfupa action will tell us ua seriuosness umesema NYOKA mwenye ndimi mbili na SIO nyoka WENYE NDIMI mbili maana yake yuko mmoja, je ni kweli yupo nyoka mmoja ? wanaong'ata na kupuliza ndani ya CCM ni wengi hao huku WASEMAWEMA huku WASEMAMBAYA hawana...
Back
Top Bottom