Search results

  1. kapolo

    Uendeshaji mbovu usiojari watumiaji wengine wa Barabara kwa Magari ya serikali

    Wanajifanyaga wao ndo wana haraka kuliki yeyote. Kwa nini wasiwe wanapanga safari zao mapema ili kuondoa haya maspeed yasiyo na ulazima
  2. kapolo

    Uendeshaji mbovu usiojari watumiaji wengine wa Barabara kwa Magari ya serikali

    Ndo kilichonikuta, jamaa walikuwa watatu wameumana, kwenye Kona Hamad hawa hapa ikabidi nitoke barabarani, pembeni kulikuwa na nguzo imekatwa ikachana tairi. Kibaya zaidi kwenye Gari nilikuwa na mtoto.Nilitoa laana zote
  3. kapolo

    Uendeshaji mbovu usiojari watumiaji wengine wa Barabara kwa Magari ya serikali

    Magari ya serikali yamekuwa yakilalamikiwa sana kwa Uendeshwaji mbaya usiojari usalama kwa watumiaji wengine wa barabara. Mwaka jana walinisababishia hasara ya kuchana tairi nilipokuwa nikijaribu kuwakwepa hawa ndugu maeneo ya Mkata. Last week wamemkosa kosa mtoto kwenye eneo la makazi...
  4. kapolo

    Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

    Sossy mkombozi wa wanyonge. Namkubali sana Mwana, business Strategy yake imefanya Kazi.
  5. kapolo

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    1HZ inaachwa vizuri tu.
  6. kapolo

    Subaru wrx sti for sale

    Chuma kama Chuma, napenda sana forester SG afu iwe manual 2.5. Nazikusanya inshaallah
  7. kapolo

    Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Good insight. Ila somo la Oil kila mtu naonaga ana maoni tofauti. Mfano mimi nina SG5 turbo na natumia Castro GTX 10W40 zaidi ya mwaka sasa na Dude linadunda kama kawa. Nakubaliana na wewe kwenye uwashaji na uzimaji wa Gari ya turbo, ndo maana JAMAA wanakuwekea turbo timer.
  8. kapolo

    Exaust kutoa matone ya Maji unapowasha Gari (Cold start)

    Na inatumiwa sana wauzaji wa Magari nchini
  9. kapolo

    Exaust kutoa matone ya Maji unapowasha Gari (Cold start)

    Habari zenu! Kuna dhana,exaust kutoa matone ya maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start) kwamba inaashiria uzima wa Engine. 1. Je, kuna ukweli kwenye hii dhana? 2. Nini kinasababisha exaust kutoa Maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start)?
  10. kapolo

    Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

    Nimecheka sana. Wabongo tunaharibu sana magari asee
  11. kapolo

    Wapi naweza kupata spare aina ya boll joint (Mazda CX 5)

    [emoji1369][emoji1369][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. kapolo

    Kwanini speed ni 180 km/h?

    Mimi kwenye safari za kifamilia huwa hawaniruhusu kugusa Gari. Sijawahi kuweza kutembea taratibu.
  13. kapolo

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Yenye turbo inakuwa na changamoto gani?Naomba kujua na recommended Oil
  14. kapolo

    Hii ndiyo gari ya kiume Toyota hapa walifanikiwa sana 2007 hadi 2010

    LC 200 Series. One of the best SUVs for Africa.
  15. kapolo

    Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

    Samahani kwa kuingilia uzi wako.Kwa Bajeti hiyo hiyo kama kuna mwenye nayo anaweza nicheki Pia..
  16. kapolo

    Naomba kujua aina za Engine na tabia zake

    4D33 ni engine ambayo ulaji wake uko vizuri compared na 4D35....4M51 sina uzoefu nazo,kibongo bongo mafundi wanadai sio nzuri
  17. kapolo

    Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

    Ni oil gani nzuri kwenye engine ya 5L diesel?
Back
Top Bottom