Search results

  1. jaridotcom

    Natafuta kazi, nina Bsc. in Electrical Engineering

    Mbona unaharaka sana malizia semester zen ndo uanze...kwanza unauhakika kama utapass?
  2. jaridotcom

    Natauta mchumba

    okey wewe nitumie tu hiyo 4n no yako nitakupokea maana niko maeneo ya Riverside
  3. jaridotcom

    Natauta mchumba

    Yaaah Biashara ipo tayari,kuhusu tabia nimesema awe na mapenzi ya Dhati,sura siangalii sana lakini asiwe na sura imesimama sana kama ya mwanaume........kwa mwenye sifa ani PM tupeane no au njia nyingine ya kuwasiliana.
  4. jaridotcom

    Natauta mchumba

    Nilisema awe na mapenzi ya dhati nikiamini akiwa hivyo tabia yake ni nzuri......sura sijari sana lakini isiwe ya kidume sasa.
  5. jaridotcom

    Natauta mchumba

    Jamani Habarini zenu wanajamiii mm ni mgeni hapa jamvini,mm ni kijana (mvulana) mwenye miaka 29 ninaelimu ya Chuo (Single Degree) na tayari nimeshaajiliwa nafanya kazi ila katika maisha yangu naona nimepungukiwa na mke mwema kwa hiyo natoa fulsa kwa Binti mwenye sifa zifuatazo...Awe na Elimu...
  6. jaridotcom

    Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

    pole sana ila kama atakuacha mm niko tayari kukuoa maana napenda sana wanawake wenye makalio makubwa sitojali unamtoto ila kama utanipenda kwa dhati....kwa hili sitaniii wewe ni PM tu utaona mwenyewe...wanaume wengine bana yaani anaona kero kwa wewe kujaliwa makalio hajui wengine ndo tunatafuta...
Back
Top Bottom