Search results

  1. C

    Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania)

    ["Nichumu Nibebike, post: 25750221, member: 383818"]Sie weusi tuliambiwa na wazazi wetu tusome vitabu hivyo kupoteza opportunity ya kutengeneza pesa katika umri mdogo kupitia biashara. Ukitoka hapo na midigrii yako unaishia kuajiriwa benki kwa mshahara wa laki nane. Mpaka uje umalize kununua...
  2. C

    Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    (hiyo mamlaka kaitoa wapi kwa kifungu kipi cha sheria? au unafikiri tanzania inaongozwa kwa utashi wa mtu?) Kasomeni kesi hii Rev. Christopher Mtikila v. Attorney General [2004]TLR 172. Rev. Mtikila aliswekwa rumande bila sababu akadai fidia Mahakamani.
  3. C

    Nini maana ya magari ya mwendo kasi Morrogoro road?

    Kuwa na usafiri wa umma wa uhakika ktkk majiji ni jambo jema . Shida yetu ni kila mradi watu wanawaza kupiga hela. Hapo wameamua kufukuza matajiri wenye mitaji midogo ya daladala moja, mbili etc. Shida nyingine ni, je Kwenye mataa haya mabasi yatapewa kipaumbele? Vinginevyo ni majanga tu! Kwangu...
  4. C

    Dira ya Mtanzania: Siri yavuja, Migiro kuwa Waziri Mkuu...!

    Umesema vema, tumekuwa wavivu wa kutafiti hata mambo madogo tu kama hili. Ni aibu kwa mwandishi na kama ni kweli basi mkuu wa kaya atavunja katiba. Wasome Article 51(2) Of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977
  5. C

    Pongezi: Raisi Kikwete Atoa Salamu kwa kiswahili kenya ktk sherehe za miaka 50

    Umenena mkuu, nimefurahi sana kuona kumbe tupo wengi wenye mtazamo huu. One Day YES!
  6. C

    Safisha tu, mi nasema safisha tu!

    Binafsi si mwanachama wa chama chochote cha siasa, japo ni kiri kuwa ni mpenda mabadiliko ktk nchi yetu. Nimekuwa nikifuatilia kinachoendelea ktk siasa za Tz na kugundua kama kuna mahali tulitereza na tuna endelea kutereza. Ni kweli kwa maoni ya 1992 80% ya wananchi (18+yrs wa enzi hizo) ktk...
  7. C

    Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    Hizo ndio siasa zetu, inakera sana....Nchi nzima kama waimba taarabu....Mipasho kila kona. Wenzetu vyama vya upinzani vinatumika kukiamsha chama tawala toka usingizini ili kuleta maendeleo ktk nchi. Kisipostuka kinapigwa chini. Sisi upinzani ni full kununuliwa, kuhongwa vyeo, kufunguliwa kesi...
  8. C

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Umesema vema mkuu, WaTz tumekuwa watu wa porojo na mabishano ya kisiasa yasiyo hata na tija ktk maisha yetu ya kila siku. Ukienda JUKWAA LA SIASA utakuta ni Chadema na CCM tu! Comments za kizushi hadi inachefua, kisa anatetea chama chake. Huku hata mm naona kwanifaa atiii...
  9. C

    Wapinzani wajipanga kusimamisha mgombea mmoja mwaka 2015 ili kuing'oa CCM

    Wapinzani walio serious wawe makini sana na muungano huo. CCM wanatafuta kila mbinu kushinda. Ni mara ngapi walishaweka mapandikizi ktk vyama vya upinzani? Ni mara ngapi walisha wahonga viongozi wa upinzani wenye nguvu na kuwa rudisha CCM? Wanaweza ungana leo na ikikaribia uchaguzi 2015...
  10. C

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Haya ni moja kati ya mazuri ya mapinduzi ya teknolojia, natamani wadogo zangu wa sekondari na vyuo vikuu wangekuwa wanatumia mitandao ya kijamii positively kama uzi huu na mingine kama hii. Bravo jf, bravo wadau wote.
  11. C

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni mzuri na wenye manufaa sana. Unauwezo wa kumnyanyua mtu mwenye kipato cha kuanzia Tsh. 6,000 hadi10,000/= (nunua kuku mmoja) na kuwa milionea. Ni kuwa serious, determined, mvumilivu na mwenye kutumia ufugaji wa kisasa. Tatizo la wengi vijijini they don't take it...
  12. C

    Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Kulipa kodi ni wajibu wa kila raia bila kujali ana wadhifa gani ktk serikali. Mbona Marekani na nchi zingine hadi rais analipa kodi? Tatizo la Tz walipa kodi ni sehemu ndogo sana ya wananchi wanaoingiza kipato matokeo yake serikali inawang'ang'ania hao wachache kugharamia matumizi yote ya...
  13. C

    Lissu aigomea CCM,CHADEMA wahamia Dodoma kumuunga mkono

    Namna waliyotaka kutoa shauri mahakamani wamekosea kisheria. Ukiwithdraw the adsverse party ni ngumu kudai gharama za kesi. Lisu anataka case iwe "Dismissed with costs" Ili alipwe gharama za kuendeshea kesi. Sidhani kama anataka kuendelea na kesi. Ni hayo tu!
  14. C

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Umesema vema Nape, NGUVU Ya UMMA ipo kwenye sanduku la kura, ispokuwa kwa nchi chache ambazo raia wanamisimamo sana ya kuandamana kama Misri. Vyama vya upinzani vikazane kupata wafuasi wengi zaidi na kuwahamasisha kujitokeza kwa wingi kupiga kura uchaguzi unapowadia. Hahahaha....bila kusahau...
  15. C

    Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

    Marais wa nchi kubwa wanakuja sawaaa.....kufanyaje? kwa maslahi ya nani?...........loading answers
  16. C

    CCM kwa mara ya kwanza yakosa mgombea kata ya Mnima Mtwara Vijijini

    Mgombea wao yupo ni wa cuf ati!
  17. C

    Nyumba 300 zabomolewa kata za Mabwepande, madale - Dar es Salaam

    Naona kama kichwa cha habari na maelezo vyatofautiana vile......adha za wahanga wa mafuriko na kubomolewa kwa nyumba.....!!!!????
  18. C

    Africa ikiwemo Tanzania kwisha kazi, cheki hiki kipande ujionee africa inavyo gawanywa

    Ukiona mwonevu anaonesha dalili za kukupenda kuwa makini. Watapora ardhi mikononi mwa viongozi wa kiafrika wasio na haya lakini Afrika will remain for Africans, nikishindwa kuipigania mimi leo, vizazi vijavyo vitaifanya hiyo kazi.
  19. C

    Nani kamponza sioi sumari...!

    "CCM ndiyo ilyomponza, naamini angegombea kupitia Chadema angeshinda, CCM haitakiwi, na yeyote akiwa upande wa CCM lazima akataliwe, hakuna haja ya kutafuta mchawi. CCM ni Janga la Kitaifa(JK)" Umenena mkuu, tatizo sio Sioi, tatizo ni chama kimekosa dira baada ya kushindwa kutatua kero za Watz
Back
Top Bottom