kuna mijitu migumu hata kushauri hivi una mke unawezaje kuhangaika bila ndom?ok umeteleza unampeleka home hivi ww ni mzima kweli kichwani sasa muoe awe mke wa pili
hawa ccm ipo siku yao kila siku wanatafuta sababu tena za kiwendawazimu kabisa watu tumechoka kwani arusha kuna nn mpaka ccm isipate amani kuiachia kwa cdm?
jamani hizi ni laana sii kitu cha kujusifia mbele za watu ati unapenda sana 0713 nyie mnaopenda hivi mtakuja kuoa kweli? hili tatizo now a days its like a fashion jamani hebu tubadilike na hii inapelekea wanawake kukosa wanaume wa kuwaowa cause mishoga inazidi kuongezeka kila siku
huyu kama ni wewe vile unaomba ushauri kwani kuna mbinu ya kutongoza kweli zaidi ni kujiamini tuu huyo anamapungufu fulani woga umemtawala mwambie aje anitongoze basi nimuone alivyo zege
kwanza hujatuambia huyo mpz anafanya kazi gani namaanisha je kama ni house girl sii lazima awe busy siku zote au kama ni muajiriwa wa shirika flan lazima awe na ratiba zake labda ndio siku yake ya off afanyeje ss na kama unaona kero muwekee beki tatu wa kumsaidia kazi ili mkatembee vizuri back 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.