Search results

  1. M

    Kama mawaziri wameidhinishwa tar 24 maamuzi yao kabla ni batili

    Wengi wetu tumesikia majibu ya waziri mkuu kuwa mawaziri wapo kihalali na wameidhinishwa toka tarehe 24 ya mwezi huu wa nne hivyo nikataka kujua kisheria maamuzi waliyokua wakiyafanya kabla ya tarehe hiyo yatakua na uhalali wowote kisheria?
  2. M

    Ukitaka ukweli basi yakupasa kujua idadi ya wapiga kura Jimbo la Arusha mjini

    Kama ukitaka kutenganisha na kujua ukweli kuwa watu waliojaa uwanjani Sheikh Amri Abeid na wapiga kura wa jimbo la Arusha mjini basi pitia idadi ya wapiga kura A town sasa kama Arusha inawapiga kura 150000 uwanjani Kuna watu 500000 kisha jiulize hao 350000 wametoka wapi?
  3. M

    Nalitamani Gazeti la Mzalendo la leo na Uhuru la kesho

    Kwa jinsi waandishi wake walivyo weledi natumaini Gazeti lao la leo na kesho litapata wateja lukuki na tukitarajia kupata habari murua za kisiasa na kiuchumi bila kupendelea upande wowote.
  4. M

    Swali hili kwa Great thinkers tu

    Hivi pesa za mishahara na wadai wa serekali zinakua kwenye account gani?Na je hizo pesa zinakua za umma au za wadai wa serekali na wa ajiriwa tu?
  5. M

    Hali tete UVCCM: Yasemekana Safari ya Mbeya waligharamiwa ticket na Membe

    Kuna sintofahamu na kurushiana maneno ndani ya Uvccm baada ya kugundulika kuwa safari yao ya mbeya waligharamiwa ticket na kambi ya Membe Mnyetishaji wetu katujuza kuwa katika mkutano huo kuna mashambulizi ya wazi yalifanywa kwenye mkutano kuelekezwa upande wa kambi nyingine, hili...
  6. M

    Kulikoni Wizara ya uchukuzi kupita huku TAZARA ikiwa imesimama kwa wiki 3

    Sielewi katika hili ni kwamba wabunge hawajui au kuna maelezo ya ziada au ni kulainishwa kwa wabunge ili waliache lisije leta madhara kwa serekali?
  7. M

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atengua uamuzi wa RPC kuhusu chopa

    Hatimae mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ameto sintofahamu iliokuwepo kati ya Rpc iringa na Chama cha demokrasia na maendeleo kuhusu kurusha chopa siku ya uchaguzi Source star tv
  8. M

    M4C - OPD kuzizima ndani ya Ifakara leo tar 29-1-2014 na Kamanda Mbowe na team yake

    Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Leo tarehe 29-1-2014 kitaendelea na oparation pamoja daima katika mji wa ifakara wilaya ya kilombero ambapo mwenyekiti wa chama taifa pamoja na team yake watakua wanahutubia wananchi ifakara na viunga vyake picha na habari zaidi zitawajia source...
  9. M

    Tofauti si posho ni mapungufu ya Zitto

    Kama kuna maneno yanasemwa kuwa tofauti kati ya lema na kiongozi wake Zitto ni posho hapa atakua amekosea kwani swala la posho lilikua mpango wa kichama katika kuboresha maisha ya mfanyakazi na mwananchi wa kawaida fatilia maelezo ya lema katika kuchambua jinsi zitto alipotoka hadharani na...
  10. M

    Diwani wa Cmm Ilonga akumbana na kipigo cha kikosi cha kuzuia Ujangili

    Kwa mujibu ya wakazi wa kilombero kikosi cha kuzuia ujangili leo kimempa kipigo diwani wa ccm ilonga kwa kumusisha na mtandao wa ujangili maeneo ya karibu na tawi la NMB ifakara na kuna wakzi wengine wamekimbia makazi yao kuhofia vipigo hivyo
  11. M

    Ni kwanini msomi fisrt class(Mwigulu) hakuweza kuhutubia hata wafunzi high school?

    Nimekua nikijiuliza ni kwanini mh. Mwigulu hakuweza hata fanya mkutano hata mmoja na chuo chochote akiwa marekani nikawa na jibu kuwa labda kwa kuwa vyuo vinaangalia ni mtu gani na elimu yake ikoje baada ya kupata hilo jibu nikawa na kitu cha kumuuliza yye na wana ccm diaspora hawakuona hata...
  12. M

    Rai yangu kwa bwana mifugo unaekalia kiti pale mjengoni

    Kwa kuwa nilikua sitambui utaalamu wako ikaniwia vigumu nikuweke katka kundi gani lakini baa kufahamu nikaona kwanza nianze na kukuweka sawa na kama utakua msikivu utanielewa na hii itakusaidia walau kukurudishia heshima kidogo kwa muda mchache uliosalia. Ni kwamba inapokua kwenye kiti...
  13. M

    Ni nani mkweli kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai kuhusu kinga na madaraka ya bunge?

    Nimejaribu kuoanisha maelezo ya mwasheria nguli na ya naibu speaker kuhusu kinga na madaraka ya bunge, kwa upande Lisu mbunge hatashtakiwa kwa kosa lolote atalofanya mazingira ya bunge, Na kwa ndugai anasema hata polisi wa bunge, askari wa kawaida, askari kanzu na maafisa usalama pia kuwa nao...
  14. M

    Kama wauza Madawa ya kulevya wangekuwa CHADEMA

    Najaribu kutafakari Kauli ya Lukuvi kama wauza madawa wapo bungeni na wangekua chama cha upinzani CHADEMA ni kweli asingewataja?na katika hili tunjifunza nini kutoka serekalini?
  15. M

    Kwanini Dr. Slaa na timu yake ya chama izuiliwe kwenda kusini kuendesha mabaraza ya katiba

    Nimejiuliza maswali mengi lakini nikakosa majibu katika hili ni kwamba watu wa kusini hawana haki ya kuchangia mabaraza ya katiba na kupata elimu iliyopo kwenye rasimu ya katiba? au ni muendelezo wa jeshi kutumia mabavu kwa kunyima watu haki zao za msingi na mwisho au ni muendelzo wa serekali...
  16. M

    Diwani wa CHADEMA kata ya Ifakara akamata wagonga mihuri feki wa mizani katika ofisi za CCM wilaya

    Ile hali ya ufisadi katika kazi za serekali kwa kushikiana na chama tawala umejiidhirisha leo katika mji mdogo wa Ifakara baada ya wagonga mizani feki na risiti bandia wakiwekwa chini ya ulinzi na diwani wa CHADEMA kata ya Ifakara wakiwa kwenye jengo la ofisi za CCM wilaya ya Kilombero...
  17. M

    Nahitaji busara zenu katika hili, Mzee mwanakijiji, Mchambuzi na wengineo

    Ikiwa Mkenya ana ililia Tanzania sisi tulio wazalendo tufanye nini? Maana yeye kalia kuhusu mauza uza ya idara moja je itakuaje kwa watanzania wanao zitegemea idara zingine kwa ajili ya kushughulikia mahitaji yao?maana mfumo ni ule ule kwa asilimia 80, narudia kuuliza kama mkenya anaililia...
  18. M

    Si Lugora pekee, hata JK alisema anawafahamu

    Leo katika maswali ya papo kwa hapo waziri mkuu baada ya kuulizwa ni hatua gani serekali itachukua kwa mawaziri wanao jihusisha na madawa ya kulevya yeye akajibu kuwa serekali haitasita kuwafukuza na kuwachukulia hatua mawaziri wanao jihusisha na madawa ya kulevya hivyo akamuomba mh. Lugora...
Back
Top Bottom