Search results

  1. S

    Tatizo la Unene

    Hiyouliyoandika apple acid vinegar sio apple cider vinegar?
  2. S

    Makato ya HESLB ni kiasi gani?

    Makato ya HESLB ni 8%ya mshahara wako
  3. S

    mabasi kutoka mikoani yakwama mbezi

    Tangu saa kumi na mbili na nusu tulipoanza foleni kibamba ni masaa 2 yamepita hatujafika temboni .pata picha watoto wanavyochoka
  4. S

    kutambua mimba imeingia au lah!

    Akifanya UPT wiki moja baada ya ile tarehe aliyokuwa anategemea apate hedhi itaonyesha kama ana mimba au la.
  5. S

    Naomba msaada wa kidaktari!

    pole ndugu.nenda hospitali uulizie dr ambaye ni UROLOGIST.wao hushughulika na ishu hizo
  6. S

    Wagonjwa Muhimbili walia adha ya mgomo

    kwani nyoni kasemaje bbc leo? jana wagonjwa muhimbili walisema wanapata huduma kama kawaida...
  7. S

    Eti wengi wanatamani kutoka kuliko kuingia???

    uliyosema ni kweli ndugu.nakuuunga mkono...
  8. S

    Mizani!!!!!! Mizani!!!! Mizani.......Mabuchani................Tahadhari!!! !!......

    MUNGU ndiye awezaye kututoa kwenye uovu huu...
  9. S

    Kwa wale mliosoma kwa mkopo wa Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu Tanzania, Angalieni Tangazo hili

    Asante kwa taarifa.nafikiri kila mdaiwa akaangalie anadaiwa kiasi gani.kuna watu wamesoma kozi moja,wameanza na kumaliza pamoja chuo but wanatofautiana kiwango cha madeni.tukahakiki madeni yetu...
Back
Top Bottom