Search results

  1. cai

    Nimeenda Mtoni Kijichi kweli ni kwa 'kishua'

    Ni Toangoma na sio Tuangoma
  2. cai

    Rafiki yangu ni Wakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu ila katapeliwa kwa njia hii

    Ulichoongea ni sawa lakn siku hz utaratib umebadilika, wanarudisha miamala ya Wateja bila hata kukupigia Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
  3. cai

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Anachokifanya mafufuli ni kuzima moto aliouwasha lisu, napo baada ya kuuzima anauongezea petrol, na kadiri siku zinavoenda ndyo anazidi kupanic
  4. cai

    Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

    Chadema nao wawe makini na huyu kiumbe, atakuja fanya kitu chenye hawataamini
  5. cai

    Zanzibar 2020 Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

    Sheria zao zinataka mtu aliyezaliwa Zanzibar, Mwinyi kazaliwa bara, Zanzibar amepelekwa akiwa ameshikwa mkononi, kakosa vigezo
  6. cai

    Kutapeliwa

    hela ikitoka bank inaingia kwenye akaunt moja kwa moja na unatoa kwa wakala wa mtandao husika, sasa hiyo ya kwenda kutoa kwenye bank tena ni suala jipya, 2. Miamala yote ya pesa za mtandao lazima zinakuja na namba ya muamala(risiti) ya Huduma uliyofanya amabyo inaambatana na muda was kufanyika...
  7. cai

    Zitambue aina za akili za binadamu

    1. CRITICAL-MATHEMATICAL INTELLIGENCE (Wale ambao ni wazuri kwenye mahesabu-vipanga) 2 . VERBAL-LINGUISTIC INTELLIGENCE (wale wanao uwezo wa KUONGEA lugha zaidi au nyingi zaidi, kama tano ) 3. KINETHETIC-BODY INTELLNGENCE (Hapa ndo unawapata akina SAMATTA na wale ambao wanaweza kucheza...
  8. cai

    Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

    Kitu jecha aliwafanyia CUF 2015 hawatasahau ila zaidi hii supuraizi amewafanyia ccm mwaka huu hawajui wafanye nini
  9. cai

    Kila Spika wa Bunge na zama zake na ubora wake!

    Wangejua wanaenda kumpata mtoto wa aina gan, ile siku wangeitumia kwa jambo jingine
  10. cai

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Inabidi kwenye listi ya maadui wa taifa waliotajwa na mwalimu aongezwe na huyu kiumbe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. cai

    Serikalini Wamekosekana Watu Wanaojua Crisis Management

    Hapa Tanzania tuna James mbatia, ni mtaalam sana kwenye haya masula kama haya, na kuna watu nchi imewasomesha hadi urusi na israel kwa kazi kama hizi, ajabu yake wametupwa huko halmashaur badala ya kukaa ofisi ya waziri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. cai

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kibaya zaidi hata yeye mwenyewe hajui anatupeleka wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. cai

    Tulivyotapeliwa msibani, tapeli alitumia mbinu rahisi sana kiasi kwamba kila nikifikiria nacheka tu

    Msiba ulikuwa unaenda moshi? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. cai

    TCRA fuatilieni tiGopesa, inakata mirija kwa mawakala

    Ulivosaini ule mkataba wenye kurasa nyingiiiii, ulisoma kipengele kwa kipengele? au ulikimbilia tu kusaini bila kusoma mkataba wote? Kwa taarifa yako ikibainika umehudumia mteja ambaye hayupo mbele yako/mteja wa mbali adhabu yake ni kunyang'anywa uwakala. Kutokukulipa kamisheni n bado tu...
  15. cai

    Tulivyotapeliwa msibani, tapeli alitumia mbinu rahisi sana kiasi kwamba kila nikifikiria nacheka tu

    Hii stori umeikatisha kama hujaikatisha basi ulisimiliwa nusu, yule tapeli aliwapiga pakubwa sana wafiwa kuanzia huo mchele hadi hela za kusafirishia msiba Sent using Jamii Forums mobile app
  16. cai

    Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

    A.k.a sare fc, vijora fc Sent using Jamii Forums mobile app
  17. cai

    Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

    Ajabu ni pale mtumishi wa tasaf anatumia laki moja kwenda kumgawia mtu 25,000/- Sent using Jamii Forums mobile app
  18. cai

    Uchaguzi 2020 Waitara, Nyamhanga waigawa Tarime kwa maslahi yao binafsi kisiasa

    Waitara huyuhuyu anayeunga mkono ukeketaji au ni mwingine? Sent using Jamii Forums mobile app
  19. cai

    Changamoto za Ajira Portal

    Hiyo n kama umepata kazi ambayo ni tofauti na sifa ulizonazo, mfano wewe n mhasibu umerukia kaz ya afisa misitu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom