Search results

  1. Abbyrobby

    Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

    Hawa wote wanao mtaja Josephine wana wivu naye. Wanatamani nafasi aliyonayo Josephine wangekuwa dada zao au wana laani kwa nini wao ni wanaume, wangekuwa wanawake labda Dr Slaa angewaona.
  2. Abbyrobby

    Zanzibar: Kweli CCM ni kiwanda cha matusi

    ​@ :a s 11:
  3. Abbyrobby

    Vibwagizo vilivyotia fora kwenye mahojiano ya Mwigulu na Zitto leo asubuhi

    Huyu jamaa sikujua kama alifanyakazi BOT, sasa naona anavyolipuka Bungeni ninakuwa na maswali ya kujiuliza. Uzalendo huu alionao sasa alikuwa nao toka anasoma? Alikuwa nao akiwa anafanyakazi BOT? Alikuwa nao pesa za EPA zikikwapuliwa? Alikuwa nao majengo pacha yakifanyiwa usanii? Hii urembo anao...
  4. Abbyrobby

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Mzee wa usingizi huyu, nadhani kama kawaida alikuwa amelala kwenye gari au ofisini. Ndipo alipoota ndoto hii ya mchana, na ya kihasidi.
  5. Abbyrobby

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Nadhani unatumiwa wewe, na hata aliyekutuma hakujua kama huwezi au huna lugha ya kuwashawishi watu humu. Kauli ile kuitolea Dodoma kwenye kikao cha halmashauri ya CCM mbele ya huyo mpiga debe wake si usaliti? Tafadhali rudi huko ulikotumwa waambie hawa jamaa hawakuelewi na hadhi yako humu ndani...
  6. Abbyrobby

    Tunaomba mtu aliyeko mahakani kesi ya uchaguzi jimbo la sumbawanga mjini atujuze yanayoendelea

    Ningependa kusikia mtu yeyyote aliyeko mahakamani kwa sasa hapo Sumbawanga atufahamishe kinachoendelea hapo mahakamani mpaka mwisho wa kesi utakavyokuwa.
  7. Abbyrobby

    Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

    Huyu ndiye mbunge aliyetoa msaada mkubwa kuliko wabunge wote kwenye majimbo yao wa maendeleo jimboni Milioni miatano (500m). Najiuliza pesa hizi alizitoa wapi? Je hiyo ndio pesa aliyonayo tu au alitoa sehemu ndogo ya pesa aliyonayo. Wakati umefika Mungu mwenyewe anaingilia kati kwa wizi huu...
  8. Abbyrobby

    Waziri Malima matatani tena, Polisi yakiri anamiliki silaha kinyume cha sheria.......

    Nakumbuka akisema kuwa anashangaa mwizi gani aingie chumbani na kuiba vitu vyote isipokuwa Bunduki, na akadai kuwa Bunduki ni mtaji mkubwa. Mimi naona ichunguzwe hiyo Bunduki haijahusika na matukio yeyote ya kijambazi? Na kama ndio naomba jeshi la Polisi lijisafishe na tuhuma nyingi juu yake kwa...
  9. Abbyrobby

    MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

    Huyu mama nadhani hata wale waliofanya mbinu chafu za kumuingiza au kumpa huo uspika hawaamini wanacho kiona na kukisikia kutoka kwa mteule wao. Anasema wabunge wa Kenya wanawashangaa, nadhani hajawaelewa. Wanamshangaa yeye nchi inayoongoza kwa umasikini wa kujitakia, wabunge ambao ndio washauri...
  10. Abbyrobby

    Kanisa katoliki mmekubali kujichafua na pesa za Lowassa?

    Kanisa Katoriki limekosa msimamo, linakemea Ufisadi unaoendelea hapa nchini. Upande mwingine linakubali kupokea fedha kutoka kwa mafisadi wanatuhumiwa ikiwa mmoja wa watuhumiwa hao ni Bwana Lowasa. Wengine wanachangia kuwa ni moja ya toba inayotolewa, nataka kujua kama anatubu kimya anatoa...
  11. Abbyrobby

    Polisi wanne mbaroni kwa mauaji ya raia Songea:IGP MWEMA APELEKA KIKOSI CHA UCHUNGUZI

    Chagonja aseme ukweli nani muhuni kati ya jeshi lake na wananchi. Wamepewa taarifa ya mauaji yanayoendelea hapo Songea na hakuna hatua yeyote ilichukuliwa. Alitaka wananchi wafanye nini waende kwao Polisi na kuwaambia kuwa tunaomba kibali cha maandamano kupinga Jeshi la Polisi kutowajibika na...
  12. Abbyrobby

    Majina

    kufikiri kwa makalio
  13. Abbyrobby

    Ukome tena ukome kuniita mimi mkeo balazuri mkubwa!!

    Limewahi kutokea kama hilo, itakuwa jamaa wa zamani kapata habari kachukua simu na kuandika sms ili kuharibu tu. Cha maana ni kumtafuta kwa kwenda kumuona na kujua kulikoni. Akijua kuwa ni jamaa wa kale amsamehe mchumba waendelee na mipango yao ya ndoa, kumbuka kuachwa na mpenzi sio mchezo...
  14. Abbyrobby

    Wana CCM 1,000, Wenyeviti wa Vitongoji Arumeru Wahamia Chadema

    Ni habari njema kwa CDM, vijana wa CDM kazi kwenu kuhakikisha elimu ya Uraia inawafikia wananchi kila sehemu hasa vijijini.
  15. Abbyrobby

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Huyu jamaa namfahamu vizuri, aliwahi kununua mitihani miaka kama saba iliyopita na shule yake ya Southern Highland ikafungiwa. Kwa mbinu za ajabu na zijui kwa namna gani alielekea Dar baada ya siku chache shule ikafunguliwa na kuendelea kama kawaida. ni mzee wa mipango
  16. Abbyrobby

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    [Ndugu yangu wee! Kuna tetesi kuwa alighalamia safari zote za mkoa wa Mbeya wakati Rizi- One alipomkampenia Mkulu kurudi ikulu kwa mara ya pili. Kama tetesi hizi ni za kweli, basi mkono wa Rizi- One umo katika uteuzi wa Mh Mulugo! ] Nimesikia tetesi kuwa alichukua mkopo wa karibu milioni 300...
  17. Abbyrobby

    Kushangiliwa kwa Kafulila kwenye Msiba wa Regia kunaashiria nini?

    Sura ya Mbatia ilipobadilika pale ndio watu wakaanza miguno na wengine kushangilia
Back
Top Bottom