Search results

  1. M

    Msaada jamani huu ni ugonjwa gani?

    Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana. hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi. Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku alihisi kama vitone vya maji vinamwagika kichwani mwake na vikawa vinashuka mpaka kwenye paji la...
  2. M

    Watanzania tuchangamkie fursa. Soko la mayai ni kubwa sana

    Habari wakuu Nimefungua duka la kuuza mayai ya kisasa, nimegundua mayai yanahitajika sana maana mzigo unatoka mno, ila tatizo upatikanaji umekua changamoto, Tanzania tuna wafugaji wachache sana walio serious. Kama kuna mfugaji mwenye uwezo wa kuniletea trei 500 kila baada ya siku 3 nitafute...
  3. M

    Msaada: nahitaji kufungua youtube channel

    Habari jf members, nina mpango wa kutaka kuingia kwenye hii sekta ya kusaka tonge mtandaoni, nikaona best kwangu ni youtube channel. Changamoto nayokutana nayo sijui chochote kabisa kuhusu ku edit video, na video editing ni pesa yenyewe kwenye YouTube channel ,maana content tayari ipo...
  4. M

    Wanasheria msaada: Nimedhamiria kumshtaki na kumfunga mwanangu wa kumzaa

    Wakuu habari..... Nimekuwa ni msomaji tu wa JF kama guest. Lakini baada ya kunikuta nikaona nijiunge nipate msaada maana hapa hakuna kinachoshindikana, Iko hivi nina mwanangu wa kiume umri miaka 33..! Huyu kijana ndio nilikuwa nikimtegemea haswa aje kusimamia mali zangu siku nikiwa sipo, na...
Back
Top Bottom