Search results

  1. Jacko medo

    Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

    Kutoa amri ya bei elekezi ya sukari ilihali sukari haipatikani sio solution Cha msingi serikali ihakikishe sukari inapatikana ya kutosha
  2. Jacko medo

    Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

    All in all wapumzike kwa Amani japo kuendesha gari usiku kama sio mzoefu ni risk sana bcoz mambo mengi yanafanyika usiku hasa tusisahau muda wenyewe ni mmbaya wenye barabara yao pia wapo kazini muda huo. Risk nyingine ni kusafiri familia moja kwa pamoja kwenye gari bcoz ikitokea msiba unakuwa...
  3. Jacko medo

    Tukumbushane: Tuliowahi kuachwa na mabasi wakati wa safari

    Me Nakumbuka Niliachwa na Bus la Princess Muro 2016, Natoka Dar kwenda Mwanza, Nilikata tiketi J5 jion safari ilikuwa Alhamic Asubh, Nikasema ngoja niende kulala kwa jamaaa angu Manzese- Argentina. Jamaa angu akanambia tucheki movie ili kuvuta time asee ile inafika SAA 7 Usiku ndo ghafla...
  4. Jacko medo

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Big up kk unajua kuandika na kusimulia matukio kwa mtiririko wenye kuleta Mantiki kwa wasomaji
  5. Jacko medo

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Kanda ya ziwa imebeba watu wengi wenye utambuzi wa siasa
  6. Jacko medo

    Zama za Mafanikio ya Elimu nchini Tanzania

    Wadau naomba tujadiliane kidgo kuhusu miaka ambayo elimu ya Tanzania ilikuwa na value(thamani) katika soko la ajira yaani miaka ya 90 na sasa ambapo inaonekana dhahiri elimu yetu haina thamani katika soko la ajira, Je tofauti ya ubora wa elimu kipindi hicho na sasa ni tofauti? Au kuna sehemu...
Back
Top Bottom