Search results

  1. K

    Mpenzi wangu hanijibu

    Ama kweli kua uyaone,nilijuwa magorofa. Ni siku ya pili leo hii tunakula milo miwili baada yamambo yangu kukwama kidogo. Hanipi unyumba na hanijibu kwachochote.ingawa milo tunakula ni miwili,ila haiwezi kuwa sababu yamimi kunyanyasika hivi Jana tukala mchana na jioni,asubuhi akanywa maziwa...
  2. K

    Waliobaini kuwa watoto si wao wataka taarifa zifutwe

    Hata hakuna moto. Hakuna tajiri fala... hao wanaume ni masikini waliobahatisha vicent tu...!
  3. K

    Waliobaini kuwa watoto si wao wataka taarifa zifutwe

    MAFALA NDIYO WANAOLIWA. UNAKUWAJE NA PESA THEN UNAKUWA MSHAMBA? HAO NI MASIKINI TU WENYE VICENT, HAKUNAGA TAJIRI FALA. MARK THAT LAST WORD!
  4. K

    Ni wapi kwa Dar es Salaam/Kariakoo wananunua laptop?

    Bandugu kwema? Nina laptop naiuza. Ina ram 8GB, HDD ni 500, CPU ni 2.4GHz ni Hp. Kwa Dar ni wapi wananunua laptop used? Adapter yake ipo pamoja na battery.
  5. K

    Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

    Am going breafly! Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu. Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga. Asanteni
  6. K

    Nimenyimwa namba kutoka kwa huyu binti na sijui kwa nini

    Nimechoka sana. Jumamosi nilikwenda barber shop moja hapa jijini. Pale nilikutana na hostess mmoja aliyenipokea kwa kunichangamkia sana Nikaingia na kuanza kunyolewa... sasa wakati kinyozi ananinyoa nilikua nampiga jicho huyu hostess aliyekuwa kwa nje Yeye alikuwa ana access ya kuona...
  7. K

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Na vipi siku mke anapotea watoto wataishi vipi? Naye mke aandike majina ya watoto kwenye mali zake, siyo majina yake.
  8. K

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Kuanzia leo kwa utu wako huu, naanza kukuheshimu mkuu. Samahani kwa popote tulipokwazana.
  9. K

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Mzee tunatofautiana kwenye mitazamo kuhusu walimu ila una akili mno.
  10. K

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Unaokutana nao wewe. Seems unawaokota malaya wewe[emoji23]
Back
Top Bottom