Umri wangu miaka 24 pressure ya macho nimepima nipo sawa kisukari sina wameniambia upungufu wa vitamini tu natumia vidonge vya vitamin mwaka wa 3 sasa lakini hamna maendeleo ndugu
Wapendwa kwa moyo mkunjufu naombeni mnisaidie kama kuna mtu ameshawahi kusumbuliwa na tatizo la macho halafu akapona naomba anisaidie jamani macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali hata TV kuangalia hadi nisogelee, simu nayo kuangalia napata tabu naweza kupishana na mtu nnayemjua...
Naomba msaada wanazengo nimepoteza hamu ya kushiriki tendo ghafla yani demu wangu anakuja geto mara 4 mfululizo lakini sina hamu kabisa yani ananifanyia kila kitu michezo yote yani mautundu yote yaani lakini chuma inagoma kusimama nini shida ndugu zangu...?
Hao AZAM TV dawa yao wakisha maliza mkataba wa kuonesha mpira wa ligi kuu ya hapa nyumbani TFF isiwauzie tena haki za matangazo mala 1000 wa wauzie DSTV kuliko hawa azam wana udini mwingi sana iyo haipingiki hata kama waislamu wana watetea na kama mpira wa hapa bongo utanza kuoneshwa kwenye dstv...
habari zenu wakuu natumaini wote wazima humu ndani.
ndugu yenu nimekuja kuomba msaada wa tiba au ushauli kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo langu maana najua humu kuna watalaamu wa mambo ya afya.
Mimi nasumbuliwa na tatizo la macho lililo nianza tangu mwaka 2017 la kupungukiwa na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.