Fanya kadri tu ya uwezo !Mwanaume ndiye kaumbwa kupenda na mwanamke kaumbwa kutii.mwanaume ampende mke wake na mwanamke amtii mume wake.kwa hiyo ni wajibu wa me kupenda ndio maana wanaonekana sana wao kuhitaji hints kama hzo.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
UNDERSTANDING YOUR WOMAN!!!
Many men make the mistake of wanting their wives/women to be like them, forgetting we were not created with the same raw materials. A man was formed from the dust but a woman was made from bone, hence we cannot behave or think alike.
An average woman wants to be...
Brother ! Never loose what you want for what you admire! Kila kitu ni kipya kwa wakati wake usimcheke bibi kwa kua ana mapengo ila jiulize kitoto kichanga kitaota lini meno?
Hiyo mentality pia ya kwamba mwanamke ndio wa kukufulia ,kukuoshea vyombo ,kukupikia is not fair.Mabadiliko yanaanza na...
Shule ya kwanza matokeo ya kidato cha sita, Kemebose kutokea Kagera Tanzania wakisherekea matokeo yao kwa kuzunguka mji mzima!.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Inafatana na chuo ulichosoma wewe ndio maana hiyo GPA unaiona ndogo labda,lakini ungesoma vyuo vya serikali mfanoDUCE,MUCE,SUA,MUHAS.aisee hata hiyo 3.1 wanapata malegend sasa kama umesoma MARIAN UNIVERISTY,GREEN BIRD ACADEMY nk.lazima uwe na dharau .Its better to stay quite kuliko kuwaheart...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.