Search results

  1. Marcel 12

    Computer4Sale Nauza Complete Desktop PC

    COMPLETE DESKTOP PC Monitor: 24” CPU: Dell Core i5 Gen: 3 HDD: 500GB Bei: 400k Tuwasiliane: +255 744 33 11 88
  2. Marcel 12

    Mbona nchi inazidi kuwa ngumu hii?

    Wakuu habari zenu, Saa nyingine tunapotezea siasa lakini naona haikwepeki inatugusa kila mmoja, cost of living awamu ya 6 inazidi kupaa, leo naona kwenye bolt wametoa huduma ya Kurequest Gari ni mwendo wa boda na bajaji sasa wale wenye magari watafanya nini ndo ajira basi tena ina maana...
  3. Marcel 12

    Nauza Pallets za Plastic Kwa Bei Nafuu

    Wakuu habari,Tunauza Pallets za plastic zilizo na ubora, kwa mwenye uhitaji anaweza kunicheki tufanye biashara na delivery yenye uaminifu. Namba: 0757005897
  4. Marcel 12

    Plot4Sale Jipatie Plots za Bei Nafuu Kutoka Trust Solution Ltd

    [emoji2769]Ngazi Ya Kupanda Kiuchumi Ipo Kigamboni [emoji2769]Hakikaa Hata Wewe Unaweza 143000 TU Kila Mwezi. [emoji2769]Kamwe Usiruhusu Mazingira Yanayokuzunguka Kuzuia Ukuwaji Wako [emoji2769] TRUST SOLUTION COMPANY LTD , Ni watu pekee watakaoweza Kufanya Ukuwe Kiuchumi Kwa Kuwekeza Kwenye...
  5. Marcel 12

    Nauza Mifuko Kwa Bei Nafuu Sana

    Habari wana jamii forum, Nauza mifuko ya kg 25,Kg 40 na Kg 50 Kwa Bei ya Jumla Tsh 300 tu Phone No:0757005897 au nicheki Pm
  6. Marcel 12

    Ni neno gani linalotumika humu JF toka ujiunge linakuchekesha sana

    Wakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai”[emoji23] yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana. Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
  7. Marcel 12

    Msaada: Ajira Portal Kipengele cha Academic Qualifications

    Habari, Wanajukwaa nna shida kidogo katika kipengele cha academic qualifications kwenye ajira portal,mara ya kwanza nlieka original documents za vyeti sasa ili kuapply inabidi nieke certified copies za vyeti,sasa nkizi upload hizo certified documents na zile original certificates zinabaki. Je...
  8. Marcel 12

    Plot4Sale Tunauza viwanja Kigamboni

    Trust Solution Company ltd,Tunatoa huduma ya uuzaji wa viwanja kwa size ya square meter Kigamboni Buyuni na mwembe mdogo kwa bei nafuu na unaweza kulipia kwa awamu. Nicheki kwa no 0620801183 Nikuhudumie Au tuwasiliane Pm kwa maelezo zaidi
Back
Top Bottom