Search results

  1. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Amiin mkuu nitazingatia kupambana
  2. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Mkuu mtaka cha uvunguni sharti niiname sina namna
  3. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    [emoji1][emoji1][emoji1] itabidi nijitahidi wakati huu wa tiba mkuu
  4. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Asante mkuu nitajaribu nayo sababu nimeahatumia dawa za kuchua nyingi
  5. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Mzee nimehangaika hospital private mpaka rufaa za kanda, wengi wanaishia kunipa dawa za maumivu. Kwenye jamii kuna wengi na wanapitia mengi mimi nitapona leo na kesho nitamsaidia mwingine. Magonjwa ni kama njaa leo kwa huyu kesho kwangu kesho kutwa kwako
  6. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Sio bawasir mkuu nazijua dalili zake
  7. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Mzee sidhani kama wanaonishauri wanashauri wakiwa na nia mbaya ama utani, naamini kabisa ni katika kunisaidia kupata tiba, na hata kama utakua unajua tiba yoyote ukanishauri nitashukuru sana
  8. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Nashukuru mkuu nazingatia nitatumia
  9. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Nimeenda mkuu, xray hazina majibu yoyote
  10. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Hizo sizivai mwaka wa 3 saiv mkuu
  11. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Jitahidi kula vyakula vyenye mafuta punguza wanga mkuu
  12. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Mkuu maumivu yanaanzia sehemu ya juu kidogo ya tundu la haja kubwa ambapo yanaanza kusambaa makalioni mpaka kiunoni, kisha eneo husika linakaza.
Back
Top Bottom