Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

Mzee nimehangaika hospital private mpaka rufaa za kanda, wengi wanaishia kunipa dawa za maumivu. Kwenye jamii kuna wengi na wanapitia mengi mimi nitapona leo na kesho nitamsaidia mwingine. Magonjwa ni kama njaa leo kwa huyu kesho kwangu kesho kutwa kwako
Dah polee sana mkuu.
Nimewaza hapa inawezekana ukapata tiba. Tafuta dawa ya kuchua aina ya Volin kisha uwe unachua eneo linalouma. Dawa ipo kwenye tube

Kama umeoa inabidi shemejj yetu akuchue.
 
Dah polee sana mkuu.
Nimewaza hapa inawezekana ukapata tiba. Tafuta dawa ya kuchua aina ya Volin kisha uwe unachua eneo linalouma. Dawa ipo kwenye tube

Kama umeoa inabidi shemejj yetu akuchue.
Asante mkuu nitajaribu nayo sababu nimeahatumia dawa za kuchua nyingi
 
Pia upunguze idadi ya mabao. Hakuna umuhimu wa kupiga mawili kwa siku. Mara moja kwa wiki is more than enough.
Wengi sikuhizi wanapiga Mara mbili kwa mwezi.
dah Apo tiba itamshinda sizan kama itaweza bao2 kwa mwez! mm japo sina mke lakin nachakat mala3 kwa wiki
 
Back
Top Bottom