mjamaa na kujitegemea
Member
- Mar 8, 2022
- 27
- 12
- Thread starter
- #41
Mzee nimehangaika hospital private mpaka rufaa za kanda, wengi wanaishia kunipa dawa za maumivu. Kwenye jamii kuna wengi na wanapitia mengi mimi nitapona leo na kesho nitamsaidia mwingine. Magonjwa ni kama njaa leo kwa huyu kesho kwangu kesho kutwa kwakoIshu ya makalio kuuma ndo naisikia leo.
Hebu nenda hospitali