Search results

  1. Magere Cheops

    Kwa wenye uzoefu na mafundi jokofu naomba msaada

    Habari ndugu zangu, Naomba msaada na ushauri kuhusiana na hii freezer yangu. Nilinunua mpya dukani hapo Katoro kwenye maduka ya vifaa vya umeme ni kampuni ya Hisense ina ujazo lita 100. Nimetumia kwa muda wa wiki tatu, ingawa wiki ya kwanza haikuwa na changamoto ila kwa hizi wiki mbili...
  2. Magere Cheops

    Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cream) naomba wazoefu mnipe ushauri

    Habari wanna jamii.... Kama mada inavyojieleza hapo juu, ninafikilia kuanziasha biashara ya kuuza barafu katika masoko na shule zinazonizunguka ninaomba ushauri kwa wazoefu katika mambo haya 01. Kuna mashine nliwahi kuiona mahali siijui jina lakini ni Kama tank furani lina maji halafu kwa chini...
  3. Magere Cheops

    Naomba Msaada wa sheria tafadhari

    Ninaomba kueleweshwa na kuelekezwa nini cha kufanya kisheria ili kupata haki yangu. Niliwahi kukopa kwenye kitaasisi furani mwaka Jana sasa mwaka huu CRDB wamenihamasisha kwa kuwa wamepunguza riba hivyo Nataka kuwauzia Deni langu lililo kwenye hicho kitaasisi. Sasa nawaomba cotation balance...
Back
Top Bottom