Search results

  1. Magere Cheops

    Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

    Utamu mwingine huu hapa
  2. Magere Cheops

    Pata kitabu chochote cha kingereza kilichotafsiriwa kwa kiswahili

    Mi sikutaka kuletwa hapa ..mods mmenileta huku ambapo sikupataka ..nataka ule Uzi uliondikwa DONDOSHA KITABU CHOCHOTE KWA NJIA YA PDF. Huo Uzi ndio ninaotaka maana niliufikia mara moja tu na bahati mbaya kabla sijacomment chochote nikatoka sasa umepotea nimetumia Kila njia kuufikia...
  3. Magere Cheops

    Series (Special thread)

    Hapa pamoto
  4. Magere Cheops

    Pata kitabu chochote cha kingereza kilichotafsiriwa kwa kiswahili

    DONDOSHA KITABU CHOCHOTE KWA NJIA YA PDF Naomba link ya huu Uzi ..nlikuwa naufatilia sasa ghafra umepotea na nimeutafuta siipati...naomba kusaidiwa namna ya kuupata ndugu zangu
  5. Magere Cheops

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Duuh...kumbe mnaburudika halafu mmenyamaza tu ...sio poa washkaji..
  6. Magere Cheops

    Evelyn!!! Siku saba ngumu zaidi nilizowahi kuzipitia maishani

    Anakuiga kuandika mkuu....mi nikahisi ni wewe...
  7. Magere Cheops

    Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

    Kabisaa yaani....utashangaa mwanamke ni mke wa mtu lakini ni mchepuko wa x wake ....ogopa Sana x anayekutaka Baada ya kuolewa na mara nyingi hiki huwa ni kikwazo kigumu Sana kwa mwanamke kukiruka.... Matokeo yake anayakoroga huko kwa Mme na x anamkimbia anabaki kuita wanaume wote mbwa......
  8. Magere Cheops

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Anayebisha abishe Kwa ushabiki tu kwa wasanii wa kike rubby ana sauti nzurii.....narudia hata huyo komandoo amekiri mara nyingi kwenye mahojiano kuwa rubby Kwa sauti ni wamoto.....
  9. Magere Cheops

    Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

    Achana naye Bado mapema kabisa huyo...wewe ndio uliyempenda na ndio maana ukatangaza ndoa harakaharaka ila wewe Wala haupo moyoni mwake...anampenda huyo x na pengine hata hawakuwa wameachana ila ulidanganywa
  10. Magere Cheops

    Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    Hii ndio shida ya Hawa Eva wetu....yaani msela kamtumia kitambo akaona amuweke pembeni jamaa umemfanya wife ukamtunza na kumuogesha jamaa limejisogeza Tena daah...na mara nyingi huwa sio rahisi Hawa viumbe kuruka hiki kiunzi Cha ma x..... Kwa kuwa umegundua kaa naye chini ongea naye kistaarabu...
  11. Magere Cheops

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Hicho ndicho kilichoandikwa kwenye tittle ya Uzi huu....imeongeleea sauti kwanza sio
  12. Magere Cheops

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Umeona enhee...enzi hizo Ray C ndio alikuwa zuchu wa sasa hahahaaaaa.....tatizo aliingia kwenye biashara ya unga sasa
  13. Magere Cheops

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Hapana sio kweli....msanii mwenye sauti nzuri na vocal Kali ni ruby na hata kwenye interviews nyingi walizofanya wasanii wengi wa kike walipoulizwa wote walikiri kuwa Kwa ruby hawaoni ndani...ruby anauwezo wa kuimba tunes ya chini kabisa ambayo wasanii wengine hawawezi kuifikia na anaimba tune...
  14. Magere Cheops

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Mmmmh.....sema umeamua kumpigia promo tu au umemkumbuka.....hata jaydee mwenyewe ukimuuliza ni msanii Gani wa kike mwenye sauti nzuri hawezi kujitaja yeye...
  15. Magere Cheops

    Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

    Duuuh.....hili sasa balaa lingine
  16. Magere Cheops

    Uzinzi wa mume na housegirl wamuua mke na taxi driver kisa tamaa ya mali

    Nlichelewa wapi aisee....hizi huwa sipendi kuzikosa kabisa
Back
Top Bottom