Search results

  1. CHIEF PRIEST

    Mwenye video ya goli la Kagera Sugar lililokataliwa wakicheza na Yanga aiweke tupunguze kelele

    Kutokana na mayowe yanayozidi humu jukwaani juu ya goli la Aziz Ki jana kukataliwa kule bondeni aiweke ili ndugu zetu wapungeze kelele. Kunya anye kuku tu ikiwa bata kaharisha. Kagera Sugar nayo timu nao waliumia.
  2. CHIEF PRIEST

    Maandamano ya Mbeya yafunika yale ya Dar na Mwanza

    Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza. Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi...
Back
Top Bottom